Home Tags Nyamira

Tag: Nyamira

Mwalimu ajitoa uhai Nyamira

0
Mwalimu wa hisabati na kemia katika shule ya upili ya wavulana ya Nyamira, amejitoa uhai baada ya kupoteza shilingi 50,000 katika mchezo wa kamari. Akithibitisha...

Wafanyakazi 79 wa serikali ya kaunti ya Nyamira wasimamishwa kazi

0
Wafanyakazi 79 wa serikali ya kaunti ya Nyamira wamesimamishwa kazi, kwa madai ya kutumia hati ghushi za masomo kupata ajira. Gavana wa kaunti hiyo...

Raila kutoa msimamo kuhusu ripoti ya maridhiano Alhamisi

0
Kiongozi wa muungano wa upinzani wa Azimio Raila Odinga atatoa mwelekeo kuhusu ripoti ya kamati ya kitaifa ya maridhiano Alhamisi wiki hii. Hii ni baada...

Madaktari Nyamira kupandishwa vyeo, wafutilia mbali mgomo

0
Madaktari katika kaunti ya Nyamira wamefutilia mbali ilani ya kufanya mgomo.   Hii ni baada ya serikali ya kaunti hiyo inayoongozwa na Gavana Amos Nyaribo kuridhia...

Gavana wa Nyamira aponea hoja ya kumbandua mamlakani

0
Ni afueni kwa Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo, baada ya hoja ya kumuondoa mamlakani iliyowasilishwa katika bunge la kaunti hiyo kupata kura chache, katika...

Mipango ya kumfurusha Gavana wa Nyamira yakamilika

0
Wawakilishi wadi kaunti ya Nyamira, wamekamilisha mswada wa kumfurusha Gavana wa kaunti hiyo Amos Nyaribo kwa madai ya utepetevu. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi katika...

Rais Ruto: Kaunti za Kisii na Nyamira kunufaika na masoko mapya

0
Rais William Ruto amesema Kaunti za Kisii na Nyamira zitanufaika na masoko 15 na saba mtawalia, katika juhudi zinazoendelea za kuboresha mazingira ya kazi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS