Home Tags NTSA

Tag: NTSA

Watu wanne wafariki katika ajali Nakuru

0
Watu wapatao wanne wamefariki kwenye ajali ya leo alfajiri katika eneo la Salgaa kwenye barabara kuu ya kutoka Eldoret kuelekea Nakuru. Kulingana na maafisa wa...

Murkomen akariri kudhibiti ajali za Barabarani

0
Wizara ya uchukuzi inasema imepiga hatua za kuhakikisha usalama barabarani, ili kukabiliana na ajali hizo zinazokithiri kote nchini. Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema maagizo...

Watu 1,214 wamefariki kwa ajali za barabarani tangu Januari 1 mwaka...

0
Mamlaka ya usafiri nchini NTSA imesema kuwa watu 1,214 wamefariki kupitia ajali za barabarani katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita . Naibu Mkurugenzi Mkuu wa...

NTSA: Watumiaji barabara watakiwa kuwa makini zaidi

0
Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA, imewatahadharisha watumizi wa barabara kuwa waangalifu, dhidi ya hatari zinazoweza tokea wakati huu wa msimu...

NTSA: Kampuni mbili za uchukuzi wa umma zapokonywa leseni

0
Leseni za Kampuni mbili za uchukuzi wa abiria zimefutiliwa mbali na halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani -NTSA, kwa madai ya kukiuka...

Maafisa wa NTSA kurejeshwa barabarani

0
Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen amesema kwamba yeye na Waziri wa Usalama wa Taifa Kithure Kindiki wamekubaliana kutafuta kufutiliwa mbali kwa agizo la kuwaondoa...

Watu 84 waangamia barabarani wiki ya kwanza ya Januari, 2024

0
Watu 84 walifariki kupitia ajali za barabarani katika wiki ya kwanza ya mwezi Januari mwaka 2024. Kulingana na takwimu za mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi...

Huduma za NTSA kutatizika kati ya Disemba 29 na Januari 1

0
Huduma za Halmashauri ya Uchukuzi na Usalama Barabarani nchini, NTSA zitatatizika baina ya Ijumaa, Disemba 29 na Jumatatu, Januari mosi mwaka 2024, kutokana na...

Matukio ya Taifa: Ukosefu wa umakini unachangia idadi kubwa ya ajali...

0
Watumizi wa barabara wametakiwa kuchukua jukumu la kuhakikisha usalama barabarani unadumishwa msimu huu wa Disemba, huku ikibainika kwamba ajali nyingi za barabara husababishwa na...

Kampuni ya Bolt yasitisha mikataba na madereva elfu 5

0
Kampuni inayoendesha programu ya teksi mitandaoni ya Bolt imesitisha mikataba na madereva wapatao elfu 5 nchini Kenya kufuatia kukosa kufuata kanuni za kazi na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS