Tag: NRM
NRM kuwaajiri watu 145,000 kuchunga kura za Museveni
Chama tawala nchini Uganda cha National Resistance Movement (NRM) kimetangaza nia ya kuwaajiri vijana 145,000 watakaolinda kura za Rais Yoweri Museveni.
Lengo ni kuzuia wizi...