Tag: NPS
Serikali yaahirisha usajili wa makurutu wa polisi hadi mwaka 2024
Serikali imeahirisha zoezi la kusajili makurutu wa polisi hadi mwaka ujao.
Kwa mjibu wa waziri wa usalama wa taifa Kindiki Kithure amesema zoezi hilo lililopangwa...
Polisi wanasa pombe haramu Kiambu
Polisi walinasa pombe haramu katika kaunti ya Kiambu siku ya Ijumaa na kuwatia mbaroni washukiwa kadhaa .
Kulingana na ripoti ya polisi washukiwa walikuwa wamepakia...
Polisi wapata mbuzi 13 walioibwa kutoka kaunti ya Laikipia
Maafisa wa polisi wamepata mbuzi 13 katika eneo la Wamba kaunti ya Samburu, waliokuwa wameibwa kutoka kaunti ya Laikipia.
Mifugo hao waliripotiwa kuibwa tarehe 23...