Tag: Nollywood
Mama Onyeka Onwenu afariki
Mwimbaji, mwigizaji na mwanaharakati wa Nigeria Mama Onyeka Onwenu ameaga dunia. Onwenu ambaye aliwahi pia kuwa mtangazaji amefariki akiwa na umri wa miaka 72.
Inaripotiwa...
Joke Silva akanusha taarifa za kifo cha mume wake
Mwigizaji mkongwe wa Nollywood nchini Nigeria Joke Silva amekanusha taarifa zilizosambazwa mitandaoni kuhusu kifo cha mume wake.
Akizingumza kwenye mahojiano, Silva alisema mume wake kwa...
Muigizaji wa Nigeria Mr. Ibu hatimaye azikwa miezi mitatu tangu afariki
Aliyekuwa muigizaji wa filamu maarufu nchini Nigeria John Okafor, maarufu kama Mr. Ibu, hatimaye alizikwa jana zaidi ya miezi mitatu tangu afariki Machi 2...
Jamaa na marafiki wa Mr. Ibu waomba mchango wa mazishi
Jamaa na marafiki wa marehemu John Okafor mwigizaji wa filamu za Nollywood wametoa taarifa ya kuomba msaada wa kifedha kwa ajili ya mazishi yake...
Mipango ya mazishi ya Junior Pope yatangazwa
Familia ya mwigizaji wa Nigeria Johnpaul Obumneme Odonwodo, maarufu kama Junior Pope imetangaza mipango ya mazishi yake kupitia kwa bango lililosambazwa mitandaoni.
Marehemu Pope ataagwa...
Mwigizaji Amaechi Muonagor amefariki
Mwigizaji wa filamu za Nigeria Amaechi Muonagor amefariki. Kifo chake kinaripotiwa kutokea Jumapili Machi 24, 2024.
Amekuwa akiugua ugonjwa wa figo, kisukari na kiharusi pia.
Mwaka...
Tonto Dikeh aashiria mpango wa kupunguza makalio yake
Mwigizaji na mwanasiasa wa Nigeria Tonto Dikeh huenda akapunguza makalio aliyoongezewa hospitalini. Hii ni baada ya kushika nafasi ya pili kwenye mashindano ya mbio...
Mr. Ibu afariki
Mwigizaji wa filamu za Nigeria almaarufu Nollywood John Okafor amefariki akiwa na umri wa miaka 62. Anasemekana kuaga dunia Jumamosi Machi 2, 2024 katika...
Yul Edochie aanzisha kanisa la mtandaoni
Mwigizaji na mwelekezi wa filamu nchini Nigeria Yul Edochie ametangaza kuanzishwa kwa kanisa lake la mtandaoni.
Kanisa hilo linafahamika kama "True Salvation Ministry - TSM"...
Kunle Remi ashangaza wengi kwa kuchagua mpambe wa kike kwa harusi...
Mwigizaji wa Nigeria Oyekunle Opeyemi Oluwaremi maarufu kama Kunle Remi alifunga ndoa na kilichoshangaza wengi ni hatua yake ya kuwa na mpambe wa kike.
Kunle...