Home Tags NOCK

Tag: NOCK

Wanariadha 35 wateuliwa kuiwakilisha Kenya Olimpiki

0
Chama cha Riadha Kenya kimeteaua wanariadha 35 watakaoshiriki makala ya 31, ya michezo ya Olimpiki jijini Paris Ufaransa baina ya Julai 26 na Agosti...

Kwemoi na Krop wafuzu kwa Olimpiki

0
Ronald Kwemoi na Jacob Krop wamejikatia tiketi kwa michezo ya Olimpiki ,baada ya kumaliza katika nafasi za kwanza na pili za fainali ya mita...

Uteuzi wa Olimpiki katika riadha kuandaliwa uwanjani Nyayo

0
Chama cha Riadha kimetangaza kuandaa majaribio ya kitaifa kuteua kikosi cha Kenya kwa makala ya 31 ya Olimpiki baina ya tarehe 14 na 15...

Kipchoge na Jepchirchir kuongoza Kenya kutetea mataji ya Olimpiki

0
Mabingwa watetezi Eliud Kipchoge na Peres Jepchirchir, wataongoza Wakenya kutetea mataji ya mbio za marathon katika michezo ya Olimpiki, iliyoratibiwa kuandaliwa jijini Paris Ufaransa...

Kipchoge kuongoza timu ya Kenya ya Marathon ya Olimpiki

0
Bingwa mtetezi  Eliud Kipchoge ataongoza kikosi cha wanaume watakaoshiriki marathon ya Olimpiki mwaka huu jijini Paris Ufaransa kati Julai na Agosti mwaka huu. Kipchoge atalenga...

Obiri ,Jepchirchir na Kosgei kuongoza timu ya marathon ya Olimpiki

0
Bingwa wa Boston na New York marathon mwaka 2023 na mshikilizi wa zamani wa rekodi ya dunia Brigid Kosgei ni miongoni mwa wanariadha walioteuliwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS