Home Tags NOC-K

Tag: NOC-K

Wanamichezo 81 wa Kenya kushiriki Olimpiki

0
Wanamichezo 81 wa Kenya watashiriki makala 33 ya michezo ya Olimpiki, itakayoandaliwa jijini Paris,Ufaransa kuanzia Julai 26 hadi Agosti 11. Kikosi hicho kitasaidiwa na jumla...

KBC kurusha Mubashara michezo ya Paris Olimpiki

0
Shirika la utangazaji nchini KBC limenunua haki miliki za kupeperusha mubashara makala ya 31 ya michezo ya Olimpiki itakayoandaliwa jijini Paris,Ufaransa kati ya Julai...

Lokedi atwaa nafasi ya Kosgei katika timu ya Olimpiki ya marathon

0
Bingwa wa New York Marathon mwaka 2022 Sharon Lokedi, ametwaa nafasi ya Brigid Kosgei katika timu ya mbio za marathon katika makala ya 31...

Shujaa waelekea Ufaransa kwa Michezo ya Olimpiki

0
Timu ya taifa ya raga ya Kenya kwa wachezaji sana upande maarufu kama Shujaa, imeondoka nchini kuelekea Ufaransa Jumatatu usiku kushiriki Michezo...

Gathimba afuzu kwa michezo ya Olimpiki

0
Bingwa wa zamani wa Afrika katika shindano la matembezi amefuzu kushiriki michezo ya Olimpiki ya jijini Paris Ufaransa . Gathimba ambaye alikosa kushiriki makala ya...

Shujaa kuondoka Jumatatu kwa Olimpiki

0
Timu ya taifa ya Raga ya Kenya kwa wachezaji saba upande Shujaa, imeratibiwa kuondoka nchini Jumatatu ijayo Julai 8 kwa michezo ya Olimpiki . Katibu...

NOCK yawafadhili wanariadha 17 wa mbio za masafa mafupi kwa...

0
Kamati ya Olimpiki ya Kenya, NOC-K imezindua mpango wa mazoezi maalum kwa wanariadha wa mbio za masafa mafupi kujitayarisha kwa mashindano ya Olimpiki yatakayoandaliwa...

Waziri Ababu ahudhuria seminaa ya 40 ya mashirikisho ya Olimpiki Afrika-ANOCA

0
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba amehudhuria seminaa ya 40 ya muungano wa mashirikisho ya Olimpiki barani Afrika,ANOCA siku ya Jumamosi . Kikao hicho kimejadili kwa...

Kenya yamaliza ya 6 michezo ya Jumuiya ya Madola kwa chipukizi

0
Kenya imemaliza ya sita katika makala ya 7 ya michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Trinidad and Tobago. Kenya imezoa jumla ya medali 9, dhahabu...

Wakenya wafunga michezo ya Afrika ya ufukweni kwa nishani mbili

0
Kenya imekamilisha makala ya pili ya michezo ya Afrika ya ufukweni toho juu baada ya kutwaa medali mbili katika siku ya mwisho mjini Hammamet...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS