Home Tags Nigeria

Tag: Nigeria

Jamaa na marafiki wa Mr. Ibu waomba mchango wa mazishi

0
Jamaa na marafiki wa marehemu John Okafor mwigizaji wa filamu za Nollywood wametoa taarifa ya kuomba msaada wa kifedha kwa ajili ya mazishi yake...

Banky W atangaza kwamba amepona saratani

0
Mwanamuziki wa Nigeria Olubankole Wellington maarufu kama Banky W ametangaza kwamba sasa yuko huru kutokana na saratani ya ngozi, kufuatia matibabu ya kiwango cha...

Mipango ya mazishi ya Junior Pope yatangazwa

0
Familia ya mwigizaji wa Nigeria Johnpaul Obumneme Odonwodo, maarufu kama Junior Pope imetangaza mipango ya mazishi yake kupitia kwa bango lililosambazwa mitandaoni. Marehemu Pope ataagwa...

Mwigizaji wa Nigeria Mr. Ibu kuzikwa Juni 28

0
Mwigizaji maarufu wa sinema ya Nigeria John Okafor almaarufu Mr. Ibu atazikwa Juni 28 mwaka huu takriban miezi mitatu tangu kifo chake. Tarehe ya mazishi...

Mwigizaji Amaechi Muonagor amefariki

0
Mwigizaji wa filamu za Nigeria Amaechi Muonagor amefariki. Kifo chake kinaripotiwa kutokea Jumapili Machi 24, 2024. Amekuwa akiugua ugonjwa wa figo, kisukari na kiharusi pia. Mwaka...

Tonto Dikeh aashiria mpango wa kupunguza makalio yake

0
Mwigizaji na mwanasiasa wa Nigeria Tonto Dikeh huenda akapunguza makalio aliyoongezewa hospitalini. Hii ni baada ya kushika nafasi ya pili kwenye mashindano ya mbio...

Majambazi wawateka nyara wanawake na watoto Nigeria

Watu kadha wakiwemo wanawake na watoto wametekwa nyara kwenye kisa kingine katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria. Walioshuhudia kisa hicho walisema majambazi waliokuwa wamejihami kwa...

Mr. Ibu afariki

0
Mwigizaji wa filamu za Nigeria almaarufu Nollywood John Okafor amefariki akiwa na umri wa miaka 62. Anasemekana kuaga dunia Jumamosi Machi 2, 2024 katika...

Kocha wa Nigeria Jose Peseiro aibwaga manyanga ya Super...

0
Kocha wa timu ya taifa ya Nigeria maarufu kama Super Eagles Jose Peseiro amehiaria kuondoka baada ya kuwasaidi kucheza hadi fainali ya kombe la...

Tembo wamfukuchua tai na kutwaa kombe la AFCON kwa mara ya...

0
Wenyeji Ivory Coast maarufu kama The Elephants ndio mabingwa wa makala ya 34 ya kombe la AFCON, baada ya kutoka nyuma na kuwazabua Super...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS