Home Tags Niger

Tag: Niger

ECOWAS yasimamisha uanachama wa Niger

0
Jumuiya ya Kiuchumi ya nchi za Afrika Magharibi (Ecowas), imesimamisha uanachama wa Niger baada ya serikali kuu ya kijeshi kukataa kumrejesha madarakani Rais aliyeondolewa...

Niger yabatilisha sheria iliyokusudiwa kukomesha wimbi la wahamiaji Ulaya

0
Utawala wa kijeshi Niger umebatilisha sheria ya kudhibiti uhamiaji nchini humo ambayo iliharamisha kusafirishwa kwa wahamiaji kupitia nchi hiyo. Utawala huo ilitangaza kufuta sheria hiyo...

Niger yazindua bomba la mafuta hadi Benin

0
Viongozi wa kijeshi ambao wanaongoza nchi ya Niger, wamezindua bomba kubwa la kusafirisha mafuta ambayo hayajasafishwa hadi nchi jirani ya Benin, haya ni kwa...

Ufaransa yaondoa majeshi yake Niger

0
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuwa nchi yake itaondoa majeshi na balozi wake kutoka nchini Niger kufuatia mapinduzi ya Rais Mohamed Bazoum mwezi...

Niger kuruhusu vikosi vingine vya Junta kuisaidia iwapo itashambuliwa

0
Kiongozi wa mapinduzi nchini Niger, Jenerali Abdourahamane Tchiani, ametia saini amri inayoruhusu serikali za kijeshi za Mali na Burkina Faso kutuma wanajeshi wao nchini...

Mataifa ya Afrika ya kati yaunga mkono ECOWAS

0
Jumuiya ya kanda ya Afrika ya Kati ECCAS, imeunga mkono juhudi za wenzao wa Afrika Magharibi, ECOWAS katika kurejesha utaratibu wa kikatiba nchini Niger. Hayo...

Urusi yaonya ECOWAS dhidi ya kutuma wanajeshi Niger

0
Urusi imeionya Jumuiya ya kiuchumi ya Afrika Magharibi Ecowas, kuhusu kuchukua hatua za kijeshi ambazo inasema itachukua dhidi ya wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Niger. Inasema...

Wanadiplomasia wa kimataifa wazuiwa kuingia Niger

0
Viongozi wa utawala wa kijeshi wa Niger wamesema hawawezi kukubali ziara ya ngazi ya juu ya kidiplomasia kwa sababu kutakuwa na hatari za kusalama...

Marekani yasitisha usaidizi wa kifedha kwa Niger

0
Marekani imetangaza kusitishwa kwa misaada ya kifedha kwa taifa la Niger kufuatia mapinduzi. Haya yalisemwa na kaimu naibu waziri wa mambo ya nje nchini...

Bazoum aonya jumuiya ya kimataifa kuhusu mapinduzi Niger

0
Rais aliyeondolewa mamlakani nchini Niger Mohamed Bazoum ameiomba jumuiya ya kimataifa ichukue hatua za haraka kuirejesha serikali yake mamlakani. Anasema iwapo mapinduzi yaliyotekelezwa na wanajeshi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS