Home Tags Niger Coup

Tag: Niger Coup

Raia waandamana Niger wakitaka balozi wa Ufaransa aondoke

0
Raia wengi ambao wanaunga mkono mapinduzi ya hivi maajuzi ya serikali ya nchi hiyo, waliandamana katika jiji kuu Niamey wakiitaka Ufaransa iondoe balozi wake...

Chebukati asema mapinduzi ni tishio kwa demokrasia

0
Aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini IEBC Wafula Chebukati amesema kwamba mapinduzi ya serikali za nchi kadhaa barani Afrika yanayotekelezwa na wanajeshi tishio...

Viongozi wa mapinduzi Niger wapendekeza serikali ya mpito

0
Wanajeshi walioongoza mapinduzi ya serikali nchini Niger sasa wanapendekeza serikali ya mpito ambayo itaongoza nchi hiyo kwa muda wa miaka mitatu kabla ya kurejelea...

Niger: Viongozi wa mapinduzi wafunga anga

0
Viongozi wa mapinduzi ya kijeshi nchini Niger wamefunga anga ya nchi hiyo kwa muda usiojulikana baada ya kukataa kutii makataa ya nchi za Afrika...

Umoja wa Ulaya wasitisha ushirikiano wa kiusalama na Niger

0
Umoja wa Ulaya, EU umetangaza kwamba umesimamisha ushirikiano wote wa kiusalama na taifa la Niger baada ya jeshi la nchi hiyo kutwaa mamlaka kupitia...

Wanajeshi Niger wadai kumng’oa mamlakani Rais Mohamed Bazoum

0
Wanajeshi nchini Niger wanadai kwamba walimng'oa mamlakani Rais Mohamed Bazoum jana Jumatano, Julai 26, 2023, saa chache baada ya walinzi wake kumzuilia katika ikulu.  Katika...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS