Home Tags NHIF

Tag: NHIF

Muthoni: Serikali inajitahidi kutekeleza mpango wa SHIF

0
Katibu wa afya ya umma katika wizara ya Afya Mary Muthoni amesema kwamba serikali inajitahidi kutekeleza mpango wa afya ya jamii almaarufu SHIF. Muthoni ambaye...

Nakhumicha: Huduma zinaendelea kutolewa hospitali za rufaa

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amethibitisha kwamba huduma zinatolewa kama kawaida katika hospitali za rufaa nchini. Aliyasema hayo wakati wa ziara yake katika taasisi mbalimbali...

Wazee na walemavu wasajiliwa kwa NHIF kupitia ufadhili wa NG-CDF

0
Wazee zaidi ya 400 katika kaunti ndogo ya Kiambu Mjini wamesajiliwa katika bima ya afya ya NHIF kupitia ufadhili wa pesa za kustawisha eneo...

Ulaghai yamkini uliigharimu NHIF shilingi bilioni 20 mwaka 2023, asema Nakhumicha

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema serikali imetambua vituo vya afya ambavyo vimekuwa vikiilaghai serikali kupitia Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Matibabu, NHIF. Kwa...

Ruto: Serikali inatekeleza mipango itakayoboresha maisha ya Wakenya

0
Serikali inaifanyia mabadiliko Hazina ya Bima ya Afya ya Kitaifa, NHIF ili kuharakisha upatikanaji wa afya kwa wote.  Rais William Ruto amesema serikali inanuia kutoa...

Aliyekuwa Afisa Mtendaji wa NHIF, wengine 4 waondolewa doa na mahakama

0
Ni afueni kwa Afisa Mtendaji wa zamani wa Hazina ya Kitaifa ya Bima ya Matibabu, NHIF Richard Kerich na washtakiwa wengine wanne.  Hii ni baada...

Wakurugenzi sita wa NHIF wateuliwa ,Elijah Wachira akiwa Mkrugenzi Mkuu

0
Halmashauri ya bima ya kitaifa ya matibabu, NHIF imetangaza uteuzi wa Elijah Wachira kuwa Afisa Mkuu Mtendaji  na wakurugenzi wengine sita wa bodi hiyo. Uteuzi...

EACC yaanza kuifanyia NHIF ukaguzi wa mifumo, nia ni kuziba mianya...

0
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC leo Alhamisi imeanza kufanya ukaguzi wa mifumo, sera na shughuli za Hazina ya Kitaifa ya Bima...

Bima ya matibabu NHIF kuondolewa

0
Bima ya kitaifa ya matibabu NHIF itaondolewa na badala yake kubuniwe hazina tatu za matibabu. Hili lilibainika kwenye mkutano wa baraza la mawaziri uliondaliwa...

Waziri Nakhumicha: Malipo ya NHIF yatapungua hadi shilingi 300

0
Waziri wa Afya Susan Nakhumicha amesema ada za bima ya matibabu, NHIF zitapungua hadi shilingi 300 kuanzia mwezi Septemba mwaka huu. Kulingana naye, hii ni...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS