Tag: New York
Diddy adaiwa kulawiti mvulana wa miaka 10
Kesi dhidi ya mwanamuziki na mfanyabiashara Sean Diddy Combs zinazidi kuongezeka kila kuchao na sasa analaumiwa kwa kulawiti mtoto mvulana wa miaka 10 mwaka...
Ruto: Jumuiya ya kimataifa iifanyie mabadliko mifumo iliyopitwa na wakati
Rais William Ruto ametoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuifanyia mabadiliko mifumo iliyopitwa na wakati iliyo na mamlaka na ushawishi duniani.
Badala yake ameitaka jumuiya...
Ruto atuzwa kwa mchango wake katika mabadiliko ya tabia nchi
Rais William Ruto ametuzwa tuzo ya mwaka huu ya uwekezaji viwandani unaohimiza matumizi ya nishati safi kupitia kampeni ya mabadiliko ya tabia nchi.
Ruto alipewa...
Gloria Muliro kuandaa tamasha New York Marekani
Mwimbaji wa nyimbo za injili Gloria Muliro ametangaza ujio wa tamasha lake la nyimbo za injili litakaloandaliwa jijini New York nchini Marekani.
Aliweka tangazo la...
KQ yaongeza safari mbili za ndege kutoka Nairobi hadi New York
Kampuni ya ndege ya Kenya Airways maarufu kama KQ, imetangaza kuongeza safari mbii za kutoka Nairobi hadi New York kati ya Juni 15 na...
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kutofika mahakamani
Aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump ameamua kutofika mahakamani kutoa ushahidi kwa mara ya pili kwenye kesi ya ulaghai dhidi yake huko New York.
Trump...
Jamii ya kimataifa yahimizwa kukabiliana na changamoto dhidi ya maendeleo endelevu
Rais William Ruto ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuelekeza rasilimali katika juhudi za kukabiliana na changamoto dhidi ya malengo ya maendeleo endelevu.
Rais...
Rais Ruto afanya ziara rasmi nchini Marekani
Rais William Ruto aliondoka hapa nchini Jumatano jioni kuelekea nchini Marekani, kwa ziara rasmi ya kiserikali.
Kupitia kwa taarifa iliyotolewa na msemaji wa Ikulu Hussein...