Tag: NEMA
Duale aitaka UNHCR kusitisha matumizi ya kuni katika kambi za wakimbizi
Waziri wa mazingira Aden Duale ametoa changamoto kwa Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu Wakimbizi, UNHCR kusitisha ukataji wa miti ili kutumika kama kuni...
Kenya kujiunga na ulimwengu kusherehekea siku ya usafi
Kenya itajiunga na ulimwengu kusherehekea siku ya kiamtaifa ya usafi leo huku siku hiyo ikilenga kuhamasisha, kuhusu umuhimu wa kuokota taka na kudumisha mazingira...
Walioezeka nyumba kwa Asbestos wapatiwa makataa ya miezi mitatu kuondoa
Waziri wa mazingira Aden Duale ameamuru taasisi za kibinafsi na za umma ambazo paa zao zimeezekwa kwa bidhaa zilizoundwa kwa kutumia madini ya Asbestos...
Kenya yapiga marufuku mifuko ya plastiki ya kuzoa taka
Mamlaka ya Kitaifa ya Kusimamia Mazingira (NEMA), imetangaza mabadiliko makubwa katika uzoaji wa taka za carbon nchini, kama njia moja ya kuimarisha utunzaji mazingra.
Kulingana...
Wabunge wapendekeza kutimuliwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa NEMA
Kamati ya bunge la taifa kuhusu malalamishi ya umma, imependekeza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kitaifa kuhusu mazingira (NEMA) Mamo Boru Mamo,...