Home Tags National police service

Tag: national police service

Polisi 42,000 kuhamishwa kuanzia wiki ijayo, asema Kindiki

0
Maafisa wa polisi zaidi ya 42,000 ambao wamehudumu katika kituo kimoja kwa zaidi ya miaka mitatu, wanatarajiwa kuhamishwa ifikiapo Jumatano wiki ijayo.  Hii ni kwa...

Polisi wataka ushirikiano wa wafanyabiashara Nairobi ili kuimarisha usalama

0
Huduma ya Polisi nchini Kenya imewataka wafanyibiashara kushiriana na vyombo vya dola katika harakati za kuimairisha usalama katika maeneo ya kufanyia bioashara. Kamanda wa polisi...

Polisi Makueni wakamata nyama ya punda

0
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Makueni jana walikamata magari mawili yaliyokuwa yamebeba nyama inayodhaniwa kuwa ya punda iliyokuwa ikisafirishwa kuelekea Nairobi, hususan soko...

Polisi wazindua sare mpya

0
Huduma ya Polisi imezindua sare mpya zenye majina na nambari za maafisa huku wale wa kike wakiwa na sketi na suruali ndefu. Sare hizo mpya...

Waziri Murkomen ataka polisi wachunguze kukatika kwa umeme kila mara JKIA

0
Waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen sasa anataka huduma ya taifa ya polisi ichunguze kukatika kwa umeme kila mara katika uwanja wa ndege wa Jomo...

Polisi wakanusha madai ya kukamatwa kwa Gavana Mwangaza

0
Huduma ya taifa ya polisi nchini NPS imekanusha madai kwamba Gavana wa kaunti ya Meru Kawira Mwangaza alikamatwa. Kwenye taarifa kupitia akaunti iliyothibitishwa ya...

Serikali yaahirisha usajili wa makurutu wa polisi hadi mwaka 2024

0
Serikali imeahirisha zoezi la kusajili makurutu wa polisi hadi mwaka ujao. Kwa mjibu wa waziri wa usalama wa taifa Kindiki Kithure amesema zoezi hilo lililopangwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS