Tag: National Assembly
Wabunge wakataa pendekezo la kuondoa marufuku ya mikataba ya umeme
Wabunge wamekataa pendekezo la Wizara ya Nishati la kutaka kwamba agizo lililositisha kuafikiwa kwa mikataba ya ununuzi wa umeme liondolewe.
Viongozi hao wanahisi kwamba hakuna...
Spika Wetangula achapisha uidhinishaji wa Kindiki
Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amechapisha kwenye Gazeti rasmi la serikali uidhinishaji wa Professor Kithure Kindiki, kuwa Naibu Rais Mpya kufuatia kung'atuliwa...
Mahakama ya upeo yamaliza kusikiliza rufaa ya sheria ya fedha ya...
Mahakama ya upeo leo imehitimisha kusikiliza Ombi lililotolewa na asasi mbali mbali za serikali ikiwa ni pamoja na Bunge, afisi ya Mwanasheria Mkuu na...
Duale amshukuru Rais Ruto kwa kumhamishia wizara nyingine
Aden Duale, ambaye alihudumu kama waziri wa ulinzi katika baraza lililovunjwa na Rais William Ruto kabla ya kurejeshwa kwenye wadhifa huo huo amemshukuru Rais...
Bunge laidhinisha kutumwa kwa wanajeshi kusaidia polisi kudhibiti maandamano
Bunge la taifa leo liliidhinisha kutumwa kwa wanajeshi wa KDF kusaidia maafisa wa polisi kurejesha utulivu katika maeneo ya nchi ambayo yatakumbwa na vurugu.
Mjadala...
Seneti na Bunge la Kitaifa yaafikiana kuhusu tandabelua ya IEBC
Bunge la Kitaifa na lile la Seneti yameafikiana kuhusu mabadiliko yanayopaswa kufanyiwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC.
Hatua hii ni afueni kwa tume...
Linturi ‘mweupe kama pamba’ baada kukwepa meno ya mamba
Waziri wa Kilimo Mithika Linturi amenusurika kutimuliwa afisini na kamati ya wabunge 11, baada ya kuondolewa mashtaka yote katika sakata ya mbolea ghushi.
Kwenye ripoti...
Bunge kuamua kuhusu Waziri Linturi leo
Bunge la kitaifa linaandaa kikao maalum leo Jumatatu Mei 13, 2024 kujadili ripoti ya kamati ya muda ya wanachama 11 iliyopatiwa jukumu la kusikiliza...
Mjadala wa kumwondoa Linturi afisini waanza katika bunge la taifa
Mjadala kuhusu kuondolewa afisini kwa waziri wa kilimo na ufugaji Mithika Linturi unaendelea katika bunge la taifa. Hii ni baada ya spika wa bunge...
Wabunge waondoka bungeni kwa ghadhabu kulalamikia kucheleweshwa kwa CDF
Alasiri ya Jumanne Disemba 5, 2023, wabunge wa bunge la taifa waliondoka bungeni kwa ghadhabu kama njia ya kulalamikia kucheleweshwa kwa pesa za hazina...