Tag: National Assembley
Spika Wetang’ula awaasa wabunge wanaosimamia kamati
Spika wa Bunge la Taifa Moses Wetang’ula amewaonya wenyeviti wa kamati za bunge wanaokosa vikao kuwa watapokonywa nafasi zao iwapo wataendelea kususia vikao hivyo.
Akiwatubia...
Ichungw’ah akanusha madai ya kutaka kuwa Waziri
Kiongozi wa walio wengi katika bunge la kitaifa ambaye pia ni mbunge wa Kikuyu Kimani Ichungwa, amekanusha madai ya kuwania nafasi ya waziri wa...
Mswada wa kumng’atua afisini Naibu Rais wapita kiunzi cha kwanza
Mswada wa kumbandua mamlakani Naibu Rais Rigathi Gachagua umepita hatua ya kwanza bungeni Jumanne alasiri. Hii ni baada ya Spika wa bunge wa kitaifa...
Wabunge kukamilisha kujadili Mswada wa Fedha 2024
Bunge la kitaifa linatarajiwa kukamilisha kujadili Mswada wa Fedha 2024 leo Alhamisi kabla ya kupiga kura Jumanne wiki ijayo.
Mswada huo wenye utata umezua tumbojoto...
Wabunge waitwa bungeni Mei 13 kubaini hatma ya Linturi
Spika wa Bunge la Kiataifa Moses Wetangula ameitisha kikao maalum Mei 13 kubaini hatma ya Waziri wa Kilimo Mithika Linturi.
Wabunbe wamo kwenye likizo ndefu...
Wabunge wainjika njama ya kumng’atua Linturi kwa utepetevu
Wabunge wanapanga kuwasilisha mswaada bungeni wa kumng'atua mamlakani waziri wa kilimo Mithika Linturi Juma lijalo.
Yamkini mswaada huo tayari unaungwa mkono na Wabunge zaidi ya...
Bunge kuzuia vyuo vikuu kutoa kozi za ‘diploma na certificate’
Vyuo vikuu vitasitisha kutoa mafunzo ya stashahada na "certficate" endapo mswada wa mbunge wa Embakasi Central Benjamin Gathiru utaidhinishwa na bunge la kitaifa.
Mswada huo...