Home Tags Narok

Tag: Narok

Maporomoko ya ardhi yaacha zaidi ya familia 100 bila makao Narok

0
Zaidi ya familia 100 zimeachwa bila makao, baada ya ardhi kuporomoka katika msitu wa Maasai Mau, kaunti ndogo ya Narok Kusini kutokana na mvua...

Watu sita wafariki katika ajali ya barabarani Narok

0
Watu sita wamefariki na wengine saba kujeruhiwa, kufuatia ajali ya barabarani katika kaunti ya Narok. Ajali hiyo iliyohusisha magari mawili, ilitokea karibu na eneo la...

Wafanyakazi wa serikali waonywa dhidi ya kuuza pombe Narok

0
Kamishna wa kaunti ya Narok Kipkech Lotiatia amewaonya watumishi wa umma dhidi ya kumiliki maduka ya kuuza pombe akitishia kuwatimua. Akizungumza baada ya kuongoza msako...

Naibu Kamanda wa Trafiki Narok afariki katika ajali ya barabarani

0
Naibu Kamanda wa Trafiki katika kaunti ya Narok Calvin Ochieng ameaga dunia katika ajali ya barabarani kwenye barabara ya Narok kuelekea Bomet. Ajali hiyo ilitokea...

Wanaume 3 walazwa hospitalini baada ya kupigwa na radi Narok

0
Wanamume watatu wamelazwa hospitalini baada ya kupigwa na radi wakati wakilisha ng’ombe katika kijiji cha Kileleshwa, kaunti ndogo ya Narok Kusini. Wawili kati ya watatu...

Maafisa Wakuu wa polisi Kaunti ya Narok wahamishwa

0
Huduma ya taifa ya polisi imewahamisha maafisa wakuu wa polisi katika kaunti ya Narok. Riko Ngare ndiye Kamanda mpya wa polisi katika kaunti ya Narok,...

Mbolea ya serikali iliyoibwa yapatikana katika ukumbi wa kanisa Narok

0
Mtu mmoja alifikishwa katika mahakama ya Milimani kuhusiana na kupatikana kwa magunia 252 ya mbolea ya serikali iliyoibwa na kushtakiwa kwa kusafirisha mali ya...

Wahudumu wa bodaboda wahimizwa kukabiliana na uhalifu

0
Wahudumu wa Bodaboda, wamehimizwa kuwa katika mstari wa mbele kuwasaidia maafisa wa polisi kukabiliana na uhalifu mjini Narok. Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ole...

Raila atoa msaada kwa waliofurushwa msitu wa Mau

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga ametoa msaada wa chakula,mabati na blanketi kwa wakimbizi wapatao 3,000 ambao walifurushwa kutoka msitu wa Maasai Mau eneo bunge...

Baadhi ya wanafunzi kaunti ya Narok hawatafanya mitihani ya kitaifa

0
Huku mitihani ya darasa la nane na ile ya gredi ya sita ikianza leo Jumatatu, baadhi ya wanafunzi wa darasa la nane na wale...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS