Home Tags Narok County

Tag: Narok County

Viongozi na wadau wakusanyika shuleni Nkareta kusherehekea matokeo mazuri

Baada ya kuandikisha matokeo mazuri katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE mwaka jana, viongozi wa kaunti ya Narok walikongamana katika shule...

Jamii za wachache Narok zalalamikia kubaguliwa katika ugavi wa msaada wa...

Jamii za wachache katika kaunti ya Narok zimelalamikia kile zinazotaja kuwa kubaguliwa katika usambazaji wa msaada wa masomo wa shilingi milioni 350 uliotolewa na...

Matukio ya Taifa: Kaunti ya Narok kukarabati bara bara katika mitaa...

0
Serikali ya kaunti ya Narok imeanza shughuli za kukarabati bara bara zote katika mitaa mbali mbali mjini humo kwa lengo la kurahisisha uchukuzi sawa...

Mkataba waafikiwa kuruhusu Jamii zilizo karibu na msitu wa Mau...

0
Jamii zinazoishi karibu na msitu wa Mau katika kaunti za Narok na Bomet zimetia saini mkataba wa miaka mitano na huduma ya misitu nchini...

Kampeni ya Afya Nyumbani yafikia kaunti ya Narok

0
Kampeni ya upatikanaji wa huduma za afya kwa jina #AfyaNyumbani imefikishwa katika kaunti ya Narok. Katibu wa afya ya umma katika wizara ya afya Mary...

Magavana wakongamana Narok kuangazia ugatuzi

0
Baraza la magavana nchini limeanza kongamano la siku mbili katika mbuga ya Maasai Mara, kaunti ya Narok kuangazia hali ya ugatuzi, mwaka mmoja baada...

Mtahiniwa kufanyia mtihani hospitalini Narok Kusini

0
Mtahiniwa mmoja wa mtihani wa kitaifa wa darasa la nane KCPE katika kaunti ndogo ya Narok Kusini, atafanyia mtihani wake hospitalini baada ya kushikwa...

Mkewe Rais aandaa tamasha ya kwanza ya muziki Narok

0
Mkewe Rais Rachel Ruto ameanzisha mpango wake wa kuandaa tamasha za muziki wa injili katika kaunti zote 47 kupitia kwa shirika lake la "MaMa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS