Home Tags NAMIBIA

Tag: NAMIBIA

Rais Ruto ahudhuria mazishi ya Rais Geingob

0
Rais William Ruto amehudhuria mazishi ya Rais wa Namibia Hage Geingob siku ya Jumamosi mjini Windhoek Namibia. Ruto ameahidi kushirikiana na kuisaidia serikali ya Namibia. Rais...

Hafla ya kitaifa ya kuaga mwili wa Rais Hage Geingob kuandaliwa...

0
Viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wa taifa la Namibia wanakusanyika leo katika uwanja wa michezo wa Independence jijini Windhoek nchini Namibia kuuaga mwili...

Nangolo Mbumba aapishwa kuwa Rais wa Namibia

0
Dkt. Nangolo Mbumba ameapishwa kuwa Rais wa Namibia.  Hii ni kufuatia kifo cha Rais Hage Geingob mapema jana Jumapili akiwa na umri wa miaka 82. Shughuli...

Rambirambi zamiminika kufuatia kifo cha Geingob

0
Jumbe za rambirambi zinazidi kutolewa na viongozi mbalimbali kufuatia kufariki kwa Rais wa Namibia Hage Geingob mapema leo Jumapili. Aliyekuwa Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta...

Rais Ruto amwomboleza Rais Geingob wa Namibia

0
Rais William Ruto amemwomboleza Rais Hage Geingob wa Namibia ambaye ameaga dunia hivi leo akimtaja kuwa kiongozi wa kipekee aliyetumikia watu wa Namibia kwa...

Swara wa Angola waikwatua Namibia na kufuzu kwa robo...

0
Angola maarufu kama Palancas Negras wamewafedhehesha Namibia ,Brave Warriors katika derby ya COSAFA mabao matatu kwa yai na kufuzu kwa robo fainali...

Cameroon na Namibia wafunga orodha ya timu zilizofuzu kipute cha AFCON...

0
Mabingwa mara tano wa Afrika,Cameroon na Namibia walijikatia tiketi kwa makala ya 34 ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika yatkayoandaliwa kati...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS