Tag: Nakuru
Wakulima kaunti ya Nakuru wahimizwa kukuza alizeti
Katika juhudi za kupiga jeki shughuli za kilimo ili kuboresha ukuaji wa uchumi, serikali ya kaunti ya Nakuru, imesambaza mbegu za alizeti kwa wakulima...
Wakulima 4,000 wapokea mbegu za alizeti kaunti ya Nakuru
Wakulima 4,000 kaunti ya Nakuru wamepokea mbegu zilizoidhinishwa za alizeti kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo, katika hatua za kuongeza uzalishaji wa bidhaa za...
Lori lanaswa Nakuru likisafirisha kemikali ya ethanol
Maafiswa wa usalama wamelinasa lori moja, nambari ya usajili KDG 044T, ambalo lilikuwa likisafirisha kemikali ya ethanol kwenye barabara ya Mzee wa nyama katika...
Mshukiwa wa msururu wa mauaji kaunti ya Nakuru akamatwa
Mshukiwa mkuu wa mauaji ya watu wanne katika kaunti ya Nakuru Ezekiel Kwame Mwangi, amekamatwa na maafisa wa idara ya makosa ya jinai DCI.
Mwangi...
Washukiwa wa ulanguzi wa bangi wanaswa Nakuru
Washukiwa watatu wamekamatwa wakisafirisha bangi, waliyoisingizia kuwa chakula cha mifugo katika kaunti ya Nakuru.
walikamatwa na maafisa wa kushughulikia makosa ya jinai DCI, baada ya...
Waziri Ababu akagua ujenzi wa uwanja wa Afraha
Waziri wa Michezo Ababu Namwamba siku ya Ijumaa amekagua ukarabati wa uwanja wa Afraha Nakuru na kubaini uwezo wa uga huo kuandaa mashindano ya...
Usambazaji wa mbolea ya be nafuu waanza Nakuru
Serikali ya kaunti ya Nakuru imezindua zoezi la usambazaji wa mbolea ya bei nafuu kwa ghala zilizoidhinishwa katika kaunti hiyo kabla ya kuanza kwa...
Madaktari Nakuru waandamana kulalamikia kifo cha mwenzao
Utoaji huduma katika hospitali ya rufaa ya Nakuru ulitatizika leo Jumatatu baada ya madaktari hospitalini hapo kuandamana kulalamikia kifo cha daktari mwenzao mwanagenzi.
Mwili wa...
Watu sita wafariki kwenye ajali barabarani Nakuru
Watu sita wamefariki kwenye ajali barabarani leo Jumatatu alfajiri katika eneo la Ngata, kaunti ya Nakuru baada ya lori na matatu kugongana uso kwa...
EACC yarejesha mali ya wizi ya shilingi milioni 345
Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC imerejesha shamba la ekari tano na nyumba 20 zilizokuwa zimenyakuliwa kwa wizi.
EACC imesema shamba la Wizara...