Home Tags Nakuru County

Tag: Nakuru County

Viongozi barubaru wa UDA wahimizwa kuwa na subira

0
Rais William Ruto amehimiza viongozi ambao ni vijana barubaru katika chama tawala UDA kuwa na subira wakati wao utafika. Kiongozi wa nchi aliyasema hayo wakati...

Gavana Kihika aitwa kuhudhuria kikao katika seneti

0
Gavana wa kaunti ya Nakuru Susan Kihika ameitwa kuhudhuria kikao cha kamati ya bunge la seneti kuhusu Afya, kutokana na mzozo unaoendelea wa hospitali...

Rais Ruto atetea mpango wa kuboresha barabara nchini

0
Rais William Ruto amesema kwamba uamuzi wa kuwekeza katika uboreshaji wa barabara humu nchini utainua hadhi ya nchi hii na kuchochea biashara. Akizungumza huko Nakuru...

Maafisa wa KRA wapata Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo

0
Maafisa wa shirika la kukusanya ushuru nchini, KRA wamesema kwamba wamepata kemikali aina ya Ethanol iliyoingizwa nchini kimagendo. Lita hizo elfu 13 za Ethanol zilipatikana...

0
Maziwa katika kaunti ya Nakuru ni rasilimali muhimu kwa uchumi wa majini na yanafaa kutumiwa kwa njia zifaazo ili kaunti hiyo ifikie lengo lake...

Rais Ruto kuanzisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu Nakuru

0
Jioni ya Jumanne Agosti 22, 2023, Rais William Ruto ataongoza hafla ya kuanzisha mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika eneo bunge...

Wanachama wa bodi za miji ya kaunti ya Nakuru waapishwa

0
Serikali ya kaunti ya Nakuru imeapisha wanachama wa bodi za jiji la Nakuru na manispaa za Naivasha, Molo na Gilgil. Bodi hizo zimepatiwa jukumu...

Serikali ya kaunti ya Nakuru yasambaza dawa za milioni 97

0
Serikali ya kaunti ya Nakuru imesambaza shehena ya 4 ya dawa na vifaa vya matibabu vya gharama ya shilingi milioni 97 kuambatana na ahadi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS