Home Tags Naivasha

Tag: Naivasha

Zaidi ya watu 30 wafariki baada ya bwawa kuvunja kingo zake...

0
Zaidi ya watu 30 wamethibitishwa kufariki, baada ya nyumba zao kusombwa na maji ya mafuriko katika kijiji cha Kamuchiri eneo la  Mai Mahiu, kaunti...

Wafanyabiashara mjini Naivasha walalamikia biashara duni licha ya Safari Rally

0
Wafanyabiashara mjini Naivasha wamelalamikia biashara zao kuwa chini kinyume cha matarajio ya kwamba vingenoga kutokana na mashindano yanayoendelea ya magari ya Safari Rally. Baadhi ya...

Serikali yaondoa marufuku dhidi ya kuwatembelea wafungwa

0
Serikali imeondolea mbali marufuku ya wafugwa kutemebelewa gerezani, ambayo yamedumu miaka minne, ili kutoa fursa kwa wafungwa kuunganishwa tena na jamaa zao. Huku akiondolea mbali...

DCI yawatahadharisha wahudumu wa teksi dhidi ya wahalifu

0
Idara ya upelelezi wa jinai DCI, imewataka wahudumu wa teksi kuwa waangalifu kufuatia ongezeko la makundi ya uhalifu yanayowalenga.  Katika taarifa kupitia mtandao wa X,...

Wanachama wa bunge la kaunti ya Kiambu wakabiliana Naivasha

Wanachama wa bunge la kaunti ya Kiambu walikabiliana siku ya Ijumaa, walipokuwa wakishiriki mkutano wa kuwapatanisha na gavana Kimani WaMatangi mjini Naivasha kaunti ya...

Israel kupiga jeki kilimo cha maparachichi hapa nchini

0
Kilimo cha maparachichi kimepigwa jeki, baada ya mwekezaji mmoja kutoka Israel kuanzisha ukuzaji wa zao hilo katika shamba la ekari 400 eneo la  Naivasha. Shamba...

Wakazi wa Nakuru kupokea huduma za bure za matibabu

0
Wakenya katika kaunti ya Nakuru watapata huduma za bure za matibabu baina ya Julai 4 na 7 ,baada ya kampuni ya Jubilee Health Insurance...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS