Home Tags Nairobi

Tag: Nairobi

Tanzania kujenga kituo cha uwekezaji na afisi za ubalozi Nairobi

0
Waziri aliye na Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje jana Jumanne aliongoza hafla ya kuipa Tanzania ardhi ya...

KQ yarejesha safari kati ya Nairobi na Maputo

0
Shirika la ndege la Kenya Airways, KQ limetangaza kurejeshwa kwa safari kati ya Nairobi-Maputo.  Safari hizo zilikuwa zimesitishwa kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita. Hafla ya...

Wanasheria wamtaka kamanda wa polisi Nairobi kuruhusu maandamano kuendelea

0
Chama cha wanasheria nchini LSK kimemwandikia waraka kamanda wa polisi katika eneo la Nairobi Adamson Bungei, kikimtaka aruhusu maandamano ya kupinga mswada wa fedha...

Sakaja awakubalia wanabodaboda kuhudumu katikati ya jiji

0
Serikali ya kaunti ya Nairobi leo Jumatano imefanya mkutano na miungano ya waendesha bodaboda wa katikati ya jiji la Nairobi. Lengo la kikao hicho kilichofanyika...

10 washtakiwa kwa ulaghai wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja

0
Watu 10 wameshtakiwa kwa kosa la udanganyifu wa uuzaji ardhi wa shilingi bilioni moja jijini Nairobi.  Kisa hicho kimekuwa kikichunguzwa kwa muda na Kitengo cha...

Jamaa aliyeshambulia afisa wa polisi Roysambu akamatwa

0
Maafisa wa polisi wamemkamata jamaa ambaye alionekana kwenye video iliyosambazwa mitandaoni akimpa afisa wa polisi kichapo katika barabara ya Mirema, Roysambu jijini Nairobi. Jamaa huyo...

Barabara ya Nyerere jijini Nairobi kufungwa kwa muda

0
Mamlaka ya Kitaifa ya Barabara Kuu ya Kenya (KeNHA) imetangaza kuwa barabara ya Nyerere itafungwa kwa muda karibu na mzunguko wa chuo kikuu cha...

Moto wateketeza nyumba huko Donholm Nairobi

0
Moto umeteketeza nyumba ya orofa mbili ya makazi katika barabara ya Manyanja eneo la Donholm jijini Nairobi. Wapangaji wa nyumba za orofa hiyo waliweza kuokoa...

Kenya Airways yasitisha safari za Kinsasha

0
Kampuni ya ndege nchini ya Kenya Airways imetangaza kusitisha safari zake za kutoka Nairobi hadi Kinsasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kufuatia kuzuiliwa...

Baadhi ya maeneo ya Nairobi na Machakos yakumbwa na mafuriko

0
Huku sehemu nyingi za nchi zikiendelea kushuhudia msimu wa mvua, maeneo mbalimbali Jijini Nairobi na Machakos yamearithiwa pakubwa na mafuriko na kuwaacha watu wengi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS