Tag: Nairobi County
Moto wazuka huku milipuko ikisikika katika duka la gesi Ngara
Wakazi wa eneo la Ngara karibu na jiji la Nairobi leo waliamshwa na mlipuko mkubwa na moto mkubwa katika duka la kuuza mitungi ya...
Kikao cha kujadili kubadilishwa kwa jina la City Mortuary chaahirishwa
Kikao kilichokuwa kimepangwa cha kuwapa wakazi wa wadi ya Woodley/Kenyatta Golf Course katika kaunti ya Nairobi fursa ya kutoa maoni kuhusu kubadilishwa kwa jina...
Afisa wa polisi ampiga hakimu risasi mahakamani Makadara, Nairobi
Afisa wa polisi anaripotiwa kumpiga risasi na kumuumiza hakimu wa mahakama ya Makadara, Nairobi.
Polisi huyo alikuwa amefika mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi...
Sakaja aondoa marufuku ya ujenzi
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, ameondoa marufuku ya kukagua ramani za ujenzi jijini. Marufuku hayo yaliwekwa kutokana na mafuriko ya hivi maajuzi...
Vijana wa ODM kaunti ya Nairobi wawafokea MCAs wake ...
Vijana wa chama cha ODM kaunti ya Nairobi wamewafokea waakilishi wadi wa chama hicho kwa usaliti na kufanya kazi na serikali ya Gavana Johnson...
Passaris apokelewa visivyo na waandamanaji Nairobi
Mwakilishi wa kike wa kaunti ya Nairobi bungeni Esther Passaris jana alijipata pabaya alipojaribu kujiunga na maandamano ya kupinga mauaji ya wanawake Nairobi.
Passaris alijiunga...
Mamia waandamana Nairobi kupinga mauaji ya wanawake
Mamia ya wanawake na wanaume wamejitokeza katika barabara za jiji la Nairobi mapema Jumamosi kupinga mauaji ya wanawake wenzao yanayotekelezwa na wanaume.
Wanawake hao wamelalama...
Sakaja azindua afisi mpya za kaunti kuboresha huduma
Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja jana Alhamisi alizindua afisi mpya za kaunti hiyo katika jitihada zinazolenga kuboresha utoaji huduma kwa umma.
Afisi hiyo...
Timu zaidi ya 300 kushiriki makala ya kwanza ya Sakaja Super...
Timu zaidi ya 300 za kaunti ya Nairobi zitashindana katika kipindi cha miezi miwili unusu katika makala ya kwanza ya mashindano ya Sakaja Super...
Gavana Sakaja atetea mpango wa lishe shuleni
Gavana wa jimbo la nairobi Johnson Sakaja ametetea mpango wa lishe shuleni katika kaunti yake akisema katika shule ambazo zilikuwa zimesajiliwa kwenye mpango huo...