Home Tags Naibu Rais Rigathi Gachagua

Tag: Naibu Rais Rigathi Gachagua

Serikali yawazia kufuta madeni ya wakulima wa kahawa

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahakikishia wakulima wa kahawa juu ya kupatikana kwa suluhu kwa changamoto za kifedha zinazowakumba ikiwa ni pamoja na uwezekano wa...

Gachagua ataka vita dhidi ya pombe haramu kuimarishwa maradufu

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametaka vita dhidi ya pombe haramu kuimarishwa hata zaidi.  Akizungumza mjini Embu wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Gachagua...

Wamiliki wa ardhi Nyahururu kupewa hatimiliki miezi 6 ijayo

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amewahakikishia wamiliki wa ardhi katika kijiji cha Maina, mjini Nyahururu, eneo bunge la Laikipia Magharibi kuwa serikali inakusudia kuwapatia hatimiliki...

Mageuzi ya sekta ya majani chai: Gachagua ataka kesi ziondolewe kortini

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito wa kuondolewa mahakamani kwa kesi zinazotatiza utekelezaji wa mageuzi katika sekta ya majani chai. Amesema kesi hizo zinazuia...

Wakulima wa maziwa kupata mapato zaidi, asema Gachagua

0
Wakulima wa maziwa wanatazamiwa kupata mapato zaidi kufuatia hatua ya serikali kuingilia kati suala la kuwepo kwa maziwa mengi ambako kumetishia kuathiri bei za...

Gachagua abadili nia, asema hawatasilisha lalama kwa JSC

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua kwa sasa hatawasilisha malalamishi yake kwa Tume ya Huduma za Majaji, JSC.  Alikuwa ameapa leo Alhamisi kuwasilisha kwenye tume hiyo ombi...

Gachagua awaka moto, aapa makundi haramu yatakabiliwa vikali

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa majaribio yoyote ya kufufua makundi ya uhalifu yaliyoharamishwa katika eneo la Mlima Kenya. Amesema yuko tayari...

Gachagua alalamikia ajali barabarani, ataka asasi husika kudumisha usalama

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa watumiaji wa barabara, asasi za usalama na asasi husika kuhakikisha usalama unadumishwa barabarani ili kuepukana na ajali...

Madhara ya Mafuriko: Gachagua, Murkomen wazuru Tana River

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua na Waziri wa Uchukuzi na Barabara Kipchumba Murkomen leo Jumatatu wlitembelea kaunti ya Tana River kutathmini madhara yaliyosababishwa na mafuriko.  Tana...

Kila sehemu ya nchi itanufaika na maendeleo, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema serikali ya Kenya imekusudia kutekeleza maendeleo kila pembe ya nchi.  Anasema kama serikali, wanaendelea kushauriana na kubadilishana mawazo na viongozi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS