Home Tags NA Speaker Moses Wetangula

Tag: NA Speaker Moses Wetangula

Spika Wetang’ula ahimiza wakulima kurejelea kilimo cha pamba

0
Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula amehimiza wakulima hasa wa kaunti ya Busia kurejelea kilimo cha pamba huku serikali ikipania kufufua viwanda vya...

Viongozi wa eneo la Magharibi wahimizwa kuwa na umoja

0
Spika wa bunge Moses Wetangula kwa mara nyingine amehimiza viongozi wa eneo la Magharibi kuwa na umoja akisisitiza kwamba maazimio ya maendeleo katika eneo...

Spika Wetang’ula kutoa msaada wa tarakilishi kwa taasisi ya mapadri

0
Spika wa bunge la taifa Moses Wetang'ula ameahidi kutoa msaada wa tarakilishi 100 kwa taasisi ya kutoa mafunzo kwa wanaotaka kuwa mapadri wa kanisa...

Spika Wetang’ula ahudhuria kongamano la 27 la maspika wa jumuiya ya...

0
Spika wa bunge la taifa Moses Masika Wetang’ula yuko jijini Kampala nchini Uganda ambako aliwasili jana jioni kwa ajili ya kongamano la 27 la...

Serikali kujenga barabara ya safu mbili kila upande kati ya Eldoret...

0
Spika wa bunge la Taifa Moses Wetangula amesema kwamba serikali inapanga kujenga barabara yenye safu mbili kila upande kama njia ya kusuluhisha msongamano wa...

Spika Wetangula akutana na waziri wa mambo ya nje wa Yemen

0
Hivi leo spika wa bunge la kitaifa Moses Wetangula amefanya mkutano na waziri wa mambo ya nje wa Yemen Ahmed Bin Mubarak, aliyemzuru katika...

Kenya kuandaa kongamano la Afrika la afisi za bajeti bungeni

0
Bunge la Kenya litaandaa awamu ya sita ya kongamano la mtandao wa Afrika wa afisi za bajeti bungeni baadaye mwezi huu jijini Mombasa. Kongamano hilo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS