Tag: Mvua kubwa
Mvua kubwa yasababisha maafa Nairobi
Watu kadhaa walifariki kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika kaunti ya Nairobi jana Jumapili usiku.
Gavana Johnson Sakaja anasema miongoni mwa waliofariki ni polisi mmoja aliyekuwa...
Mafuriko Mandera yazua hofu ya uhaba wa chakula
Kaunti ya Mandera inahangaika kutokana na athari za mvua kubwa ambayo imesababisha mafuriko, vifo na uharibifu mkubwa.
Barabara kuu katika mji wa Mandera Mashariki zimefunikwa...
Mvua kubwa yaharibu mapaa ya mabweni Migori
Shughuli za masomo katika Chuo cha ualimu cha Migori zimesambaratika baada ya upepo kuharibu mapaa ya mabweni katika chuo hicho.
Kwa mujibu wa mwalimu mkuu...