Home Tags Musalia Mudavadi

Tag: Musalia Mudavadi

Mudavadi atoa wito wa umoja wa Afrika kuibadilisha UNSC

0
Kenya imetoa wito wa bara la Afrika kuwa na msimamo mmoja katika kushinikiza Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, UNSC kufanyiwa mabadiliko. Waziri wa...

Mudavadi: Rasilimali za wafadhili zinatumiwa vibaya

0
Waziri mwenye mamlaka makuu  Musalia Mudavadi, ametoa wito kwa mashirika ya serikali kushirikiana katika kufanikisha miradi ya serikali.  Kulimgana na waziri huyo wa mambo ya nje,...

Serikali yabuni sekretarieti ya kupigia debe uenyekiti wa Raila AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amezindua kampeni ya serikali ambayo itapigia debe uwaniaji wa Raila...

Mudavadi, Raila kutoa taarifa kuhusu uenyekiti wa AUC

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi na aliyekuwa Waziri Mkuu  Raila Odinga leo Jumatano watatoa taarifa ya pamoja kuhusu hatua zilizopigwa katika uwaniaji wa...

Mudavadi: Kenya inaunga mkono pendekezo la kusitisha vita Gaza

0
Waziri mwenye Mamlaka Makuu Musalia Mudavadi amesema Kenya inaunga mkono pendekezo la kumaliza vita kati ya  Israel na Hamas. Mudavadi amesema kenya inaunga mkono...

Mudavadi atoa wito wa kuheshimiwa kwa taasisi huru

0
Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi ametoa wito kwa wakenya kuheshimu uhuru wa taasisi mbalimbali, akisema taasisi hizo ni nguzo muhimu kwa uthabiti wa...

Kenya na DRC ni washirika wakuu Afrika Mashariki, asema Mudavadi

0
Kenya imekariri kwamba itaendelea kuzingatia uhusiano wa karibu ulioko baina yake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Waziri mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, aliyewasilisha ujumbe...

Mudavadi: Kenya iko makini kuimarisha uhusiano wake na Somalia

0
Kenya itaendelea kuimarisha uhusiano mwema na Somalia katika maeneo yote yenye maslahi ya pamoja, ili kuboresha maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi hizo...

Mudavadi ashutumu mashambulizi yaliyotekelezwa Moscow

Waziri Mwenye mamlaka makuu Musalia Mudavadi, amejiunga na viongozi wa dunia katika kulaani mashambulizi ya mauaji yaliyotekelezwa na watu waliojihami kwa bunduki ambapo waliwaua...

Mudavadi: Kenya na Ethiopia kuimarisha uhusiano

0
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amefanya mashauriano na mwenzake wa Ethiopia Balozi Taye Atseke-Selassie, ambapo walijadiliana kuhusiana na uimarishaji wa uhusiano kati...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS