Home Tags Murang’a County

Tag: Murang’a County

Wanafunzi wapokea basari Murang’a

0
Zaidi ya wanafunzi 500 wa shule za upili na vyuo vya kadri katika kaunti ya Murang’a wamepokea ufadhili wa basari shilingi milioni 5 kutoka...

Watoto watatu wafariki kwenye ajali Murang’a

0
Watoto watatu walidhibitishwa kufariki baada ya basi la shule kuanguka katika barabara ya kutoka Gitugi kuelekea mjini Murang'a Jumamosi jioni. Ajali hiyo ilihusisha basi la...

Watu kadhaa walazwa hospitalini baada ya kula nyama ya ng’ombe aliyeugua...

0
Watu kadhaa wamelazwa kwenye hospitali mbalimbali huku wengine wakitibiwa na kuruhusiwa kuondoka baada ya kula nyama ya ng'ombe ambaye anaaminika kuugua kimeta huko Kigumo,...

Wabunge Betty Maina na Eric Wamumbi wafunga ndoa

0
Wabunge Betty Maina anayewakilisha kaunti ya Murang'a na Eric Wamumbi wa eneo bunge la Mathira walifunga ndoa ya kitamaduni Jumamosi Novemba 18 huko Murang'a. Harusi...

Wasimamizi wa hospitali Murang’a waagizwa kujiuzulu

0
Gavana wa kaunti ya Murang’a Irungu Kang’ata ameagiza wasimamizi wote watano wa hospitali za umma katika kaunti hiyo wajiuzulu katika muda wa wiki mbili...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS