Home Tags Muguka

Tag: Muguka

Muguka: Magavana wa Pwani wakataa mwaliko wa Linturi

0
Magavana wa kaunti za Pwani wamekataa mwaliko wa Waziri wa Kilimo Mithika Linturi wa kukutana ili kuangazia suala tata la zao la Muguka.  Walifikia uamuzi...

Serikali kuwatenga fedha wakulima wa miraa na muguka asema Ruto

0
Serikali itatenga shilingi milioni 500 kwa wakulima wa Miraa na Mugukaa katika mwaka wa kifedha 2024/2025, kwa ajili ya kuongeza thamani. Akizungumza katika ikulu baada...

Marufuku ya Muguka Mombasa na Kilifi yabatilishwa na Ruto

0
Rais William Ruto amebatlisha marufuku ya kaunti za Mombasa na Kilifi, dhidi uuzaji na matumizi ya Muguka akisema kuwa kinyume cha katiba kwa hatua...

Kaunti ya Kilifi yapiga marufuku Muguka

0
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro leo Ijumaa, amepiga marufuku usafirishaji, usambazaji, uuzaji na utumizi wa Muguka katika kaunti hiyo. Gavana huyo ameagiza idara...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS