Home Tags Muguka Ban

Tag: Muguka Ban

Mbunge Baya aanzisha kampeini ya siku 10 kupinga matumizi ya Muguka...

0
Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya, ameanzisha kampeini ya siku 10 kupinga uuzaji na matumizi ya Muguka katika kaunti ya Kilifi. Baya anesema ataendelea na...

Kwale yaongeza ada ya kuingiza muguka

0
Gavana wa kaunti ya Kwale Fatuma Achani ametangaza kuongezwa kwa ada ya kuingiza muguka katika kaunti hiyo. Ada hiyo imekuwa shilingi elfu 10 kwa...

Serikali ya kaunti ya Embu kwenda mahakamani kupinga marufuku ya Muguka

0
Serikali ya kaunti ya Embu inapanga kwenda mahakamani kupinga hatua ya serikali za kaunti za Mombasa na Kilifi ya kupiga marufuku uuzaji na matumizi...

Wanaharakati wa haki za binadamu wapongeza marufuku ya Muguka Kilifi

Wanaharakati wa haki za binadamu katika kaunti ya Kilifi wamempongeza Gavana Gideon Mung'aro kwa kupiga marufuku mauzo na matumizi ya Muguka katika kaunti hiyo...

Gavana Nassir apiga marufuku uuzaji na matumizi ya muguka Mombasa

0
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Nassir amepiga marufuku uuzaji na utumiaji wa muguka na bidhaa zake katika kaunti hiyo. Katika agizo lililotolewa leo Alhamisi,...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS