Tag: Mswada wa Fedha
Bunge la taifa lapongeza uamuzi wa Mahakama ya Upeo kuhusu ushiriki...
Bunge la taifa limepongeza uamuzi uliotolewa na Mahakama ya Upeo uliofafanua ushiriki wa umma katika mchakato wa kisheria.
Uamuzi huo uliotolewa Oktoba 29,2024, ulidokeza kuwa...
Bajeti kupunguzwa kwa shilingi bilioni 177, bilioni 169 kukopwa
Jumla ya shilingi bilioni 177 zitapunguzwa kwenye bajeti ili kukidhi sehemu ya nakisi ya jumla ya shilingi bilioni 346 iliyotokana na kukataliwa kwa Mswada...
Raila atoa wito wa majadiliano, kuondolewa kwa Mswada wa Fedha 2024
Kiongozi wa muungano wa Azimio Raila Odinga sasa anataka Mswada wa Fedha 2024 kuondolewa mara moja na badala yake majadiliano zaidi kufanywa kuhusiana na...
Wabunge wapitisha marekebisho kwenye Mswada wa Fedha 2024
Wabunge 195 leo Jumanne wamepiga kura na kupitisha marekebisho yaliyopendekezwa kwenye Mswada wa Fedha wa 2024, huku wabunge 106 wakiupinga mswada huo.
Mswada huo...
Maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024 yaendelea nchini
Wakenya wamejitokeza kwa wingi katika miji mbalimbali nchini kushiriki maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024.
Maandamano hayo yanahudhuriwa hasa na vijana wanaofahamika mno kama...
Maandamano ya kupinga Mswada wa Fedha 2024 yachacha
Wakenya wamejitokeza kwenye barabara za miji mbalimbali nchini kuandamana kulalamikia mswada wa fedha wa mwaka 2024 ambao unaendelea kujadiliwa katika bunge la taifa.
Vijana wengi...
Wakenya waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024
Baadhi ya Wakenya leo Jumanne walifanya maandamano jijini Nairobi kupinga Mswada wa Fedha 2024.
Hii ni licha ya serikali kutangaza kuondolewa kwa mapendekezo tata kwenye...
Munya: Mswada wa Fedha 2024 utawaongezea Wakenya mzigo
Aliyekuwa Gavana wa Meru Peter Munya amesema Mswada wa Fedha wa mwaka 2024, utawaongezea Wakenya mzigo ambao kwa sasa wanakumbwa na hali ngumu ya...
Mswada wa Fedha wa mwaka 2023 waidhinishwa
Wabunge Jumatano jioni walipiga kura kuidhinisha mswada wa fedha wa mwaka 2023.
Mswada huo ulipitishwa baada ya kuungwa mkono na wabunge 176 huku wabunge 81...