Home Tags Mr. Ibu

Tag: Mr. Ibu

Jamaa na marafiki wa Mr. Ibu waomba mchango wa mazishi

0
Jamaa na marafiki wa marehemu John Okafor mwigizaji wa filamu za Nollywood wametoa taarifa ya kuomba msaada wa kifedha kwa ajili ya mazishi yake...

Mwigizaji wa Nigeria Mr. Ibu kuzikwa Juni 28

0
Mwigizaji maarufu wa sinema ya Nigeria John Okafor almaarufu Mr. Ibu atazikwa Juni 28 mwaka huu takriban miezi mitatu tangu kifo chake. Tarehe ya mazishi...

Mr. Ibu afariki

0
Mwigizaji wa filamu za Nigeria almaarufu Nollywood John Okafor amefariki akiwa na umri wa miaka 62. Anasemekana kuaga dunia Jumamosi Machi 2, 2024 katika...

Mr Ibu akatwa mguu

0
Familia ya mwigizaji wa Nollywood nchini Nigeria John Okafor maarufu kama Mr. Ibu imetangaza kwamba amekatwa mguu anapoendelea kupokea matibabu. Tangazo hilo liliwekwa kwenye akaunti...

Mr Ibu asherehekea siku ya kuzaliwa hospitalini

0
Mwigizaji wa filamu za Nollywood za Nigeria John Ikechukwu Okafor, maarufu kama Mr. Ibu alisherehekea siku yake ya kuzaliwa katika chumba cha wagonjwa hospitalini. Kwenye...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS