Home Tags Moto

Tag: Moto

Moto wateketeza majumba Dar es salaam

0
Moto mkubwa umeteketeza kituo cha mafuta cha Big Bon na majumba yaliyo karibu katika eneo la Kariakoo, mkoa wa Dar Es Salaam nchini Tanzania. Mkuu...

Wanafunzi kadhaa wajeruhiwa baada ya bweni la shule ya upili ya...

0
Wanafunzi kadhaa katika shule ya upili ya Kibokoni kaunti ya Kilifi wamepata majeraha baada ya bweni la wasichana kuteketea leo Alhamisi asubuhi. Stembo Kaviha, mmoja...

Bweni lateketea shule ya upili ya wavulana ya Shanderema

0
Bweni moja limeteketea katika shule ya upili ya wavulana ya Shanderema katika eneo bunge la Shinyalu, kaunti ya Kakamega. Kisa hicho kiliwalazimu wanafunzi zaidi...

Soko la Mutindwa lateketea, moto ulianza usiku wa manane

0
Mali ambayo thamani yake haijulikani imeteketea katika soko la Mutindwa huko Makadara. Wafanyabiashara wanasema moto huo ulioanza kwenye kibanda kimoja saa nane usiku wa kuamkia...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS