Home Tags Moses Wetang’ula

Tag: Moses Wetang’ula

Spika Wetang’ula aidhinisha hoja ya kumtimua waziri Mithika Linturi

0
Hatma ya waziri wa kilimo Mithika Linturi, sasa imo mikononi mwa wabunge wa taifa baada ya spika Moses Wetang'ula, kuidhinisha hoja ya kumuondoa mamlakani. Hoja...

Wafuasi wa Natembeya na Wetangula wakabiliana Trans Nzoia

0
Vuta nikuvute ilishuhudiwa leo Ijumaa, wakati wafuasi wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya na Spika wa Bunge la Kitaifa Moses Wetangula walipokabiliana katika...

Wetang’ula: Bunge halijatekwa nyara na serikali kuu

Spika wa bunge la taifa Moses Wetangula amewahakikishia wabunge kwamba bunge halitatumiwa kuidhinisha ajenda za serikali. Akigusia maoni ya kiongozi wa wachache katika bunge hilo...

Wetang’ula akutana wanaotishiwa kufurushwa shambani Kitale

0
Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amefanya mazungumzo siku ya Jumamosi na waakilishi wa watu wanaotishiwa kufurushwa katika kipande kimoja cha ardhi mjini...

Wetang’ula asema bajeti ya shilingi bilioni 1.7 kufufua sekta ya sukari

0
Spika wa Bunge la kitaifa Moses Wetang'ula amesema bajeti ya ziada ya shilingi bilioni 1.7 iliyopitishwa na wabunge itafufua sekta ya sukari nchini iliyokuwa...

Wetang’ula atua Juba kwa kikao cha Maspika wa Afrika Mashariki

0
Spika wa bunge la Kitaifa Moses Wetang'ula amewasili mjini Juba nchini Sudan Kusini kwa kikao cha Maspika wa mabunge ya Afrika Mashariki kitakachoandaliwa Alhamisi....
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS