Home Tags Moses Kuria

Tag: Moses Kuria

PSC: Hatujamteua Maribe kuwa Mkuu wa Mawasiliano

0
Tume ya Utumishi wa Umma, PSC imekanusha madai kuwa imemteua mwanahabari Jacque Maribe kuwa Mkuu wa Mawasiliano katika Wizara ya Utumishi wa Umma.  Siku chache...

Watumishi wa umma kusajiliwa kielektroniki

0
Watumishi wote wa umma sasa watasajiliwa kwa kutumia alama zao za vidole, kulingana na Waziri wa Utumishi wa Umma Moses Kuria. Kwenye taarifa aliyochapisha kupitia...

Kuria asema usajili wa NYS utakuwa huru na wazi

0
Waziri wa utumishi wa umma na utendakazi Moses Kuria, amekariri kuwa zoezi la uteuzi wa watakaojiunga na huduma ya taifa kwa vijana NYS...

Rais Ruto kuhudhuria mahafala ya 87 ya makurutu 10,000 wa NYS

0
Rais William Ruto atahudhuria sherehe za 87 za kufuzu kwa makurutu wa shirika la huduma ya vijana kwa taifa, NYS zitakazoandaliwa katika chuo cha...

Serikali yakanusha kuwepo kwa mkwaruzano baina ya Mawaziri Mudavadi na Kuria

0
Serikali imekanusha kuwepo kwa mkwaruzano wa afisi za kutendea kazi kati Mawaziri Musalia Mudavadi wa Mambo ya Kigeni na mwenzake wa Utumishi wa Umma...

Hakuna migawanyiko serikalini, asema Gachagua

0
Naibu Rais Rigathi Gachagua amepuuzilia mbali madai kwamba kuna  malumbano katika utawala wa Kenya Kwanza, akisema kuwa serikali inafanya kazi kwa Umoja kutimiza ahadi...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS