Home Tags Morocco

Tag: Morocco

Ufaransa yaunga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara

0
Ufaransa imetangaza kuinga mkono Morocco katika mzozo wa Sahara uliodumu miongo kadhaa baina ya Morocco na Algeria. Haya yametangazwa mapema wiki hii na Rais wa...

Senegal,Misri na Angola zafuzu fainali za AFCON mwaka 2025

0
Simba wa milima ya Teranga ,Senegal,Pharoes ya Misri na swara wa Palancas  kutoka Angola, zimejikatia tiketi kwa makala ya 35 ya fainali za kombe...

Chui wa Congo waidhalilisha Tanzania na kufuzu AFCON

0
Timu ya taifa ya Jamhuri ya Demokrasia maarufu kama The Leopards imejikatia tiketi kwa makala ya 35 ya fainali za AFCON mwaka ujao...

Cameroon,Burkina Faso na Algeria zawahi tiketi za AFCON 2025

0
Mabingwa mara  tano wa kombe la Afrika AFCON, Cameroon ,Algeria na Burkina Faso ndizo timu tatu za kwanza kufuzu kwa makala ya 35 ya...

Mamia ya raia wa Morocco wakamatwa wakitorokea Uhispania

0
Mamia ya raia wa Morocco walikamatwa na maafisa wa polisi siku ya Jumapili wakijaribu kutorokea nchini Uhispania, kwa kuogelea katika ufukwe wa Ceuta ulio...

Morocco yawaachilia huru wafungwa 5,000 wa bangi

0
Mfalme wa Morocco Mohammed wa VI ametoa msamaha na kuwaachilia huru wafungwa 5,000 waliopatikana na bangi. Taifa hilo la Afrika Kaskazini ni mojawapo ya mataifa...

Morocco yatangaza kikosi kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Dunia

0
Kocha wa Morocco Walid Regragui ametaja kikosi cha Atlas Lions, kitakachoshiriki mechi mbili za mwezi ujao kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia mwaka...

Bafana waangusha Simba wa Atlas na kufuzu robo fainali AFCON

0
Afrika Kusini waliendeleza ubabe wao dhidi ya Atla Lions ya Morocco baada ya kuwacharaza magoli 2-1 katika mechi ya mwisho ya awamu ya 16...

Makabiliano makali AFCON Simba wa Atlas dhidi ya Chui wa Congo

0
Morocco ukipenda Atlas Lions watashuka dimbani Laurent Pokou kwa mchuano wa pili wa kundi F Jumapili jioni dhidi ya Chui wa Jamhuri ya Demokrasia...

Simba wa milima ya Atlas waporomosha nyota ya ...

0
Simba wa milima ya Atlas, Morocco wamefungua kindumbwendumbwe cha AFCON kwa moto na radi baada ya kuititiga Taifa Stars kutoka Tanzania mabao matatu kwa...
235,000FansLike
66,240FollowersFollow
421,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
zinga

EDITOR PICKS