Home Tags Mombasa

Tag: Mombasa

Gachagua afungua kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia

0
Naibu rais Rigathi Gachagua hivi leo ameongoza ufunguzi wa kongamano la kimataifa la sayansi la wanafamasia huko Mombasa. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo,...

Kenya tayari kuandaa maadhimisho ya siku ya Kiswahili Duniani

0
Kenya iko tayari kuandaa  maadhimisho ya  siku ya Kiswahili Duniani tarehe 7 mwezi ujao kwa mara ya kwanza. Waziri wa jinsia,utamaduni,sanaa na turathi Aisha Jumwa...

Marufuku ya Muguka Mombasa na Kilifi yabatilishwa na Ruto

0
Rais William Ruto amebatlisha marufuku ya kaunti za Mombasa na Kilifi, dhidi uuzaji na matumizi ya Muguka akisema kuwa kinyume cha katiba kwa hatua...

Mlanguzi wa mihadarati akamatwa Mombasa

0
Maafisa wa polisi wa kukabiliana na ulanguzi wa mihadarati katika kaunti ya Mombasa, wamemkamata mlanguzi wa dawa za kulevya katika mtaa wa Kiembeni, eneo...

Washukiwa 10 wa wizi wanaswa Mombasa

0
Washukiwa 10 walinasawa siku ya Jumatano kwenye msako wa polisi  ulioendeshwa kuwatafuta wahusika waliovamia nyumba moja na kuwaibia wenyeji, na kisha kuteketeza nyumba katika...

Meli ya pili ya kifahari yatia nanga Mombasa

0
Kulikuwa na furaha isiyo kifani katika bandari ya Mombasa, baada ya meli nyingine ya kifahari kwa jina MV  World Odyssey, kutia nanga ikiwa na...

Mfanyakazi wa serikali ya kaunti ya Mombasa akamatwa kwa kuitisha hongo

0
Mfanyakazi mmoja wa serikali ya kaunti ya Mombasa amekamatwa kwa tuhuma za kuitisha hongo.  Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi, EACC katika taarifa inasema...

Bomoabomoa yaanza Changamwe, Mombasa

0
Ubomozi wa nyumba umeanza katika eneo la Changamwe, kaunti ya Mombasa kwa lengo la kupisha ujenzi wa nyumba za bei nafuu.  Wakazi wameonekana wakikimbia kuondoa...

Wizara ya Afya yatangaza kuzuka kwa ugonjwa wa macho Mombasa

0
Wizara ya Afya imetangaza kuzuka kwa ugonjwa wa mboni ya macho katika kaunti ya Mombasa. Kwenye taarifa, katibu wa afya ya umma katika wizara hiyo...

Washukiwa watano wa ujambazi wakamatwa Mombasa

0
Maafisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Central mjini Mombasa, wamewakamata washukiwa watano wanaoaminika kuwa wanachama wa genge ambalo limekuwa likiwahangaisha wakazi wa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS