Home Tags MOH

Tag: MOH

Madaktari kurejea kazini Alhamisi baada ya kumaliza mgomo

0
Hali ya kawaida inatarajiwa kurejea katika hospitali zote za umma nchini, kaunzia siku ya Alhamisi baada ya Madaktari kutangaza kumaliza mgomo siku ya Jumatano. Madaktari...

Serikali na Madaktari wakosa kuafikiana

0
Serikali na Madaktari wanaogoma walikosa kuafikiana Ijumaa usiku,  huku mgomo wa kitaifa ukiingia wiki ya nane katika hospitali zote za umma. Kulingana na Waziri wa...

Wizara ya afya yatoa shilingi bilioni 6.1 kwa madaktari wanaogoma

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha amesema serikali imetoa shilingi bilioni 6.1 kutimiza matakwa ya madaktari wanaogoma, huku akitishia kuwashtaki maafisa wa vyama vyao ikiwa...

Madaktari kufanya maandamano kote nchini Jumanne

0
Madaktari wanaogoma watafanya maandamano kote nchini Jumanne tarehe 9 Aprili,  kuishinikiza serikali itimize matakwa yao huku mgomo wa kitaifa ukitarajiwa kuingia wiki ya nne. Mgomo...

Mahakama yaipa Wizara ya afya siku 14 kusuluhisha mgomo wa Madaktari

0
Wizara ya Afya imepewa siku 14 na mahakama ili kutafuta suluhu mwafaka kwa mgomo wa madaktari unaondelea kote nchini. Jaji wa mahakama kuu Byrum Ongaya...

Madaktari wasimama kidete, wakataa ofa ya serikali na kuapa kuendelea kugoma

0
Chama cha madaktari nchini, KMPDU kimeapa kuendelea na mgomo wao ambao uliingia wiki ya tatu siku ya Jumatatu. Kulingana na Katibu mKuu wa KMPDU Dkt....

Mgomo ungalipo: Madaktari wasimama kidete licha ya kikao na Waziri Nakhumicha

0
Chama cha madaktari nchni, KMPDU kimekanusha madai ya kuafikia makubaliano na serikali na kusisitiza kuendelea na mgomo wao wa kitaifa ambao umeingia siku ya...

Waziri Nakhumicha atoa shilingi milioni 17 kwa watoa huduma...

0
Waziri wa afya Susan Nakhumicha ametoa shilingi milioni 17 kuwalipa wastawishaji wa afya ya jamii kote nchini. Waziri akiwa katika hafla moja katika kaunti ya...

Matabibu watoa ilani ya mwezi mmoja ya mgomo

0
Matabibu wametoa ilani ya mwezi mmoja kabla ya kuanza mgomo wa kitaifa kufuatia, kufutiliwa mbali kwa bima yao ya matibabu iliyokuwa katika bima ya...

Wizara ya Afya yatangaza kuzuka kwa ugonjwa wa macho Mombasa

0
Wizara ya Afya imetangaza kuzuka kwa ugonjwa wa mboni ya macho katika kaunti ya Mombasa. Kwenye taarifa, katibu wa afya ya umma katika wizara hiyo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS