Home Tags MOE

Tag: MOE

Ni afueni kwa wanafunzi baada yalishe shuleni kurejeshwa

0
Watoto kutoka familia maskini nchini wana kila sababu ya kutabasamu, baada ya kamati ya elimu ya bunge la kitaifa  kurejesha mpango wa lishe shuleni...

Wabunge waitaka serikali kuwaajiri Walimu wanagenzi wa JSS kwa mkataba wa...

0
Wabunge wameitaka serikali kuwaajiri Walimu wanagenzi wa shule za Junior Secondonary, kwa mkataba wa  kudumu  ili kuimarisha utendakazi wao. Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro,mwenzake wa...

Takriban shule 2,000 kukosa kufungua kwa muhula wa pili Jumatatu

0
Angaa shule 2,155 huenda zikakosa kufungua kwa muhula wa pili Jumatatu Mei 13 ilivyopangwa. Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu, amesema huenda asilimia tano ya shule...

Wakenya watawala mbio za nyika kwa shule duniani

0
Wakenya wametawala makala ya 24 ya mbio za nyika duniani baina ya shule yaliyoandaliwa Jumapili katika uwanja wa Ngong racecourse, wakinyakua medali 8 kati...

Wizara ya elimu kujenga madarasa 16,000 kwa wanafunzi wa gredi ya...

0
Katibu wa elimu ya msingi Belio Kipsang ametangaza kuwa wizara ya elimu inapania kujenga madarasa 16,000, kwa kundi la kwanza la wanafunzi wa gredi...

Bunge kuzuia vyuo vikuu kutoa kozi za ‘diploma na certificate’

0
Vyuo vikuu vitasitisha kutoa mafunzo ya stashahada na "certficate" endapo mswada wa mbunge wa Embakasi Central Benjamin Gathiru utaidhinishwa na bunge la kitaifa. Mswada huo...

Mahakama Kuu kuamua kesi inayopinga mtaala wa CBC

0
Majaji watatu wa mahakama huu siku ya Alhamisi wanatarajiwa kutoa mwelekeo wa kesi inayopinga kuanzishwa kwa mtaala wa elimu ya umilisi, CBC. Kesi hiyo iliyowasilishwa...

Waziri Machogu alalama ongezeko la uvamizi shuleni

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amelalamikia ongezeko la visa vya uvamizi wa shule kutokana na matokeo duni katika mtihani wa kitaifa wa kidato cha...

Watahiniwa wa KCPE kujiunga na sekondari Januari 15

0
Wanafunzi waliokalia mtihani wa darasa la nane mwaka huu, KCPE watajiunga na shule za upili Januari 15 mwaka ujao. Haya yametangazwa na Waziri wa Elimu...

Mtihani wa KCSE waanza kote nchini

0
Wanafunzi wa kidato cha nne kote nchini wameanza mtihani wa KCSE mapema leo Jumatatu kwa somo la Kiingereza, karatasi ya kwanza na somo la...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS