Home Tags MOA

Tag: MOA

Serikali kununua mahindi kwa bei ya shilingi 4,000 kwa gunia

0
Serikali imetangaza kununua mahindi kutoka kwa wakulima kwa bei ya shilingi 4,000 kwa kila gunia la kilo 90. Waziri wa Kilimo Mithika Linturi alitangaza kuwa...

Maonyesho ya kimataifa ya Nairobi kuanza rasmi Jumatatu

0
Maonyesho ya kimataifa ya Nairobi yataanza Jumatatu na kukamilika Oktoba mosi mwaka huu katika uwanja wa Jamhuri park Showground katika barabara ya Ngong . Maonyesho...

Wakenya wabanwa zaidi baada ya matatu kuongeza nauli

0
Wakenya watalazimika kukabiliana na makali ya hali ngumu ya kiuchumi na gharama ya juu ya maisha, baada ya wenye matatu kutangaza kuongeza nauli za...

Wakulima wadogo kupata mikopo kutoka benki ya Faulu

0
Wakulima wadogo katika sekta ya ufugaji wa ngombe wa maziwa na kilimo cha mboga na matunda watapokea mikopo kutoka kwa benki ya Faulu Microfinance...

MOA kuanzisha shule ya kutoa mafunzo kwa madereva

0
Wamiliki wa matatu wanapanga kuanzisha shule yao ya kutoa mafunzo kwa madereva katika jitihada za kupunguza ajali za barabarani nchini.  Kwa mujibu wa maafisa wa...

Bei ya mbolea yashuka hadi shilingi 2,500

0
Serikali imetangaza kupunguza bei ya mbolea kutoka shilingi 3,500 hadi 2,500 kwa kila gunia la kilo 50. Rais William Ruto ametangaza bei hiyo leo Jumatano...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS