Home Tags Mithika linturi

Tag: Mithika linturi

Serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, asema Rais Ruto

0
Rais William Ruto amesema kuwa serikali imetimiza ahadi zake kwa wakulima, kwa kutekeleza mabadiliko katika sekta ya kilimo hapa nchini. Kulingana na Rais, serikali imetengea...

Kenya yalenga masoko 13 mapya ya Majani chai ughaibuni

0
Serikali inalenga kuzalisha majani chai yaliyoongezwa thamani, huku ikiweka mkakati wa miaka mitano wa kupanua masoko, ikilenga masoko 13 mapya ughaibuni. Waziri wa kilimo na...

Kamati ya bunge inayochunguza kubanduliwa kwa waziri Linturi yaanza mchakato huo

0
Kamati maalum ya bunge la kitaifa inayochunguza madai ya kuondolewa afisini kwa waziri wa kilimo Mithika Linturi, imeanza mchakato huo rasmi leo  Jumatano baada...

Wanachama 11 wa kamati ya bunge la taifa kubaini hatma ya...

Hatima ya waziri wa kilimo Mithika Linturi sasa imo mikononi mwa kamati ya muda ya bunge la taifa inayojumuisha wanachama 11. Hii ni baada...

Spika Wetang’ula aidhinisha hoja ya kumtimua waziri Mithika Linturi

0
Hatma ya waziri wa kilimo Mithika Linturi, sasa imo mikononi mwa wabunge wa taifa baada ya spika Moses Wetang'ula, kuidhinisha hoja ya kumuondoa mamlakani. Hoja...

Serikali yaondoa ushuru kwa vyakula vya mifugo

0
Katika juhudi za kuimarisha sekta ya kilimo hapa nchini, serikali imeondoa ushuru wa vyakula vya mifugo na bidhaa zinazotumiwa kutayarisha vyakula hivyo kama vile...

Serikali kuimarisha sekta ya mifugo nchini

0
Serikali imebuni mikakati ya kuimarisha uzalishaji wa nyama ya ng'ombe, ili kukidhi soko la bidhaa hiyo. Waziri wa kilimo Mithika Linturi, alidokeza kuwa Kenya bado...

Serikali kununua mahindi kwa bei ya shilingi 4,000 kwa gunia

0
Serikali imetangaza kununua mahindi kutoka kwa wakulima kwa bei ya shilingi 4,000 kwa kila gunia la kilo 90. Waziri wa Kilimo Mithika Linturi alitangaza kuwa...

Mapato katika sekta ya mboga na matunda yaongezeka

0
Kenya ilipata zaidi ya shilingi bilioni 140 kutokana na  mauzo ya bidhaa za mboga, matunda na maua mwaka 2022, huku maua pekee ikileta mapato...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS