Tag: Ministry of Public Service
Watumishi wa umma wahakikishiwa kwamba watapata nyongeza waliyoahidiwa ya mishahara
Watumishi wa umma wana kila sababu ya kutabasamu baada ya waziri wa utumishi wa umma Justin Muturi kutangaza kwamba serikali itatekeleza awamu ya pili...