Home Tags Ministry of Interior

Tag: Ministry of Interior

Watu 169 wamefariki Kenya kutokana na mafuriko

0
Jumla ya watu 169 wamefariki kutokana na mafuriko kote nchini kulingana na ripoti iliyotolewa na wizara ya usalama wa kutaifa. Kwa mjibu wa ripoti hiyo...

Serikali kuongeza mara dufu utoaji pasipoti na vitambulisho

0
Serikali inalenga kuongeza maradufu idadi ya pasipoti na vitambulisho itakazotoa kwa Wakenya kufikia mwishoni mwa mwaka huu. Kulingana na katibu wa idara ya uhamiaji Julius...

Serikali imefunga baa 9,269 tangu mwezi Machi, asema Kindiki

0
Waziri wa Usalama wa Kitaifa Kithure Kindiki amesema kuwa serikali imefunga maeneo ya kuuza pombe 9,269, tangu mwezi Machi mwaka huu. Hii katika msako...

Polisi 42,000 kuhamishwa kuanzia wiki ijayo, asema Kindiki

0
Maafisa wa polisi zaidi ya 42,000 ambao wamehudumu katika kituo kimoja kwa zaidi ya miaka mitatu, wanatarajiwa kuhamishwa ifikiapo Jumatano wiki ijayo.  Hii ni kwa...

Wakenya watakiwa kutahadhari msimu wa shamrashamra

0
Katibu katika Wizara ya Usalama wa Taifa Dkt. Raymond Omollo amewataka Wakenya kuchukua tahadhari msimu wa sherehe za Krimasi na Mwaka Mpya. Omollo alisema haya...

Machifu wajukumiwa kugawa miche na kuhakikisha upanzi Jumatatu

0
Serikali imesema kwamba mipango ya shughuli ya upanzi wa miti kote nchini siku ya Jumatatu itakayoongozwa na Rais Willliam Ruto imekamilika. Katika taarifa ya pamoja...

Kituo cha Banya Fort chafunguliwa kuunganisha Kenya na Ethiopia

0
Serikali imewataka Wakenya wanaoishi mpakani Marsabit kushirikiana na vyombo vya dola kuimarisha usalama kutokana na kudorora kwa hali ya usalama katika upembe wa Afrika. Katibu...

Maombi ya pasipoti kuchukua wiki moja

0
Maombi ya pasipoti yatakuwa yakichukuwa muda wa siku saba pekee kabla ya kupata stakabadhi hiyo muhimu ya usafiri. Kulingana na Katibu wa Idara ya Uhamiaji...

Serikali yasimamisha ukusanyaji data wa WorldCoin

0
Serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani imesimamisha mipango ya ukusanyaji data ya watu binafsi ambao unaendeshwa na kampuni ya World Coin na kampuni...

Huduma za mfumo wa e-Citizen zarejea

0
Serikali imetangaza kurejea kwa huduma zote za mtandaoni kupitia mfumo wa e-Citizen kufuatia jaribio la udukuzi lililositisha baadhi ya huduma. Huduma zaidi ya 5,000 za...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS