Home Tags Ministry of Interior and National Admninistration

Tag: Ministry of Interior and National Admninistration

Idara ya uhamiaji kuchapisha pasipoti 10,000 kwa siku,asema Kindiki

0
Idara ya uhamiaji ina uwezo kuchapisha pasipoti 10,000 kwa siku, ili kukabiliana na mahitaji ya juu ya pasipoti 5,000 kwa siku kote nchini. Kulingana na...

Wanajeshi wahusishwa katika usaidizi wa waathiriwa wa mafuriko

0
Wizara ya usalama wa taifa imetangaza kwamba wanajeshi sasa wanahusika katika shughuli za kutafuta na kuokoa walioathiriwa na mafuriko. Kwenye taarifa kwa vyombo vya habari...

Mahakama yasitisha agizo la Kindiki kuhusu kufungwa kwa baa

0
Mahakama kuu jijini Kisumu imesitisha agizo la Waziri wa Usalama wa ndani Kithure Kindiki ya kifungwa kwa baa katika harakati za kukabili uuzaji wa...

Baraza la Mawaziri laidhinisha mpango wa kukabiliana na pombe haramu

0
Baraza la Mawaziri limeidhinisha hatua zilizochukuliwa na serikali katika vita dhidi ya pombe haramu na dawa za kulevya humu nchini. Hatua hizo zilizotangazwa na Wizara...

Serikali kuwatafutia makao waathiriwa wa mafuriko Tana River, asema Omolo

0
Wizara ya usalama wa ndani imewahakikishia wakazi walioathkrika na mafuriko katika kaunti ya Tana River kwamba serikali imeanza mipango ya kuwatafutia makao mapya. Akizungumza Garsen...

Kindiki: Vitisho vya mwaka 2023 ndivyo vya mwaka 2024

0
Waziri wa usalama wa taifa Profesa Kithure Kindiki amesema kwamba tathmini ya wizara yake inaonyesha kwamba vitisho vilivyokabili wakenya mwaka 2023 vitasalia mwaka huu...

Mikakati ya kukabiliana na athari za mafuriko yaimarishwa

0
Serikali kuu, serikali za kaunti, shirika la msalaba mwekundu na mashirika mengine ya msaada yanatoa msaada wa dharura kwa jamii katika kaunti zilizoathiriwa na...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS