Home Tags Ministry of Education

Tag: Ministry of Education

Wizara ya Fedha yapunguza bajeti ya chakula kwa wanafunzi shuleni

0
Wizara ya Elimu imeambia kamati ya Bunge la Kitaifa kuhusu Utekelezaji kuwa fedha za kufanikisha mpango wa lishe shuleni zimepunguzwa kwa shilingi bilioni 2.4...

Serikali yaweka tarehe mpya ya likizo fupi kwa shule

0
Wizara ya Elimu imetangaza tarehe mpya ya likizo fupi kwa shule za msingi na upili katika muhula wa pili ili kufidia muda uliopotezwa baada...

Kenya tayari kuandaa mashindano ya dunia ya nyika kwa shule

0
Kenya iko tayari kuandaa mashindano ya dunia ya mbio za Nyika ya shule {International Schools Federation} ISF World Schools Cross Country, tarehe 12 mwezi...

Hakuna mtihani bila karo, vyuo vikuu vyawashinikiza wanafunzi wa mwaka wa...

0
Vyuo vikuu vya umma vimekaa ngumu na kuwalazimisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa masomo kulipia sehemu ya karo wanayohitajika kulipa, kabla ya kufanya...

Sikukuu ya upanzi wa miti kutoathiri mtihani wa kitaifa KCSE

0
Wizara ya Elimu imetangaza kwamba siku iliyotengwa na serikali kwa ajili ya upanzi wa miti nchini haitaathiri mtihani unaoendelea wa kidato cha nne, KCSE. Serikali...

Muda wa kuomba ufadhili wa elimu ya juu waongezwa

0
Wizara ya elimu nchini Kenya imeongeza kwa mwezi mmoja zaidi muda wa kutuma maombi ya ufadhili wa elimu ya juu. Wanaotaka ufadhili katika mwaka...

Serikali yaombwa itoe pesa za kufadhili elimu

Shule zinapoendelea kufunguliwa kwa muhula wa tatu, chama cha walimu wa shule za sekondari na vyuo KUPPET tawi la Meru kinaomba serikali kupitia kwa...

Shule zafunguliwa kwa muhula wa tatu mwaka huu

0
Shule zinafunguliwa leo Jumatatu Agosti 28, 2023 baada ya likizo ya wiki mbili na wanafunzi wameanza kurejea shuleni. Kulingana na kalenda ya Wizara ya Elimu,...

Machogu: Utekelezaji wa CBC unaendelea vizuri

0
Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu amesisitiza kwamba utekelezaji wa mtaala wa umilisi CBC unaendelea kwa njia iliyo sawa. Akizungumza mbele ya bunge la Seneti, Machogu...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS