Tag: Ministry of Defence
Rais Ruto awapandisha vyeo wakuu kadhaa wa jeshi
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika uongozi wa jeshi ambapo wengine wamepandishwa vyeo huku wengine wakiteuliwa.
Uamuzi huu unafuatia ushauri aliopokea Rais kutoka kwa...
Duale azindua ujenzi wa nyumba za wanajeshi Laikipia
Waziri wa ulinzi Aden Duale leo aliongoza uzinduzi wa ujenzi wa nyumba za makazi kwa wanajeshi wa KDF katika eneo la Kwa Mbuzi, kaunti...
Jenerali Charles Muriu Kahariri ateuliwa mkuu mpya wa majeshi ya Kenya
Rais wa Jamhuri ya Kenya William Samoei Ruto amempandisha cheo Charles Muriu Kahariri hadi kiwango cha Jenerali na kumteua kuwa mkuu mpya wa majeshi...