Tag: Migori
Ugonjwa wa selimundu: Serikali ya Migori kuanzisha sheria kukabiliana nao
Serikali ya kaunti ya Migori, kupitia Idara ya Huduma za Afya, inapanga kuanzisha sheria ambayo itawataka wanandoa kupimwa kwanza ugonjwa wa selimundu, yaani sickle...
Moto wateketeza nyaraka muhimu Migori
Nyaraka muhimu zimeteketea baada ya moto kuzuka kwenye kituo cha kuzihifadhi katika majengo ya bunge la kaunti ya Migori.
Moto huo ulizuka muda mchache baada...
Gavana Ayacko akaribisha ziara ya Rais Ruto Migori
Gavana wa kaunti ya Migori Ochilo Ayacko, amekaribisha ziara ya Rais William Ruto katika kaunti hiyo, kuzindua miradi kadhaa ya maendeleo.
Akizungumza na wanahabari afisini...
Watu wawili wafariki baada ya Mgodi kuporomoka Migori
Watu wawili wamefariki baada ya kuta za mgodi wa kina cha mita 750, kuporomoka eneo la Rongo kaunti ya Migori.
Wachimba migodi 18 walikuwa kazini,...
Madaktari kaunti ya Migori warejea kazini
Madaktari katika kaunti ya Migori wamerejea kazini baada ya mazungumzo kati yao na serikali ya kaunti kufanikiwa.
Gavana wa kaunti hiyo Ochilo Ayacko, akithibitisha hayo,...
KCSE 2023: Watahiniwa wote shule ya upili ya Oruba, Migori wazoa...
Watahiniwa wa shule ya upili ya wavulana ya Oruba katika kaunti ya Migori wamelalamikia matokeo duni waliopata katika mtihani wa kidato cha nne wa...
Mvua kubwa yaharibu mapaa ya mabweni Migori
Shughuli za masomo katika Chuo cha ualimu cha Migori zimesambaratika baada ya upepo kuharibu mapaa ya mabweni katika chuo hicho.
Kwa mujibu wa mwalimu mkuu...
Waziri Owalo na katibu Omollo wapanga mikakati ya ujio wa ...
Waziri wa Habari Teknoljia Mawasiliano na Uchumi wa kidijitali Eliud Owalo na Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt Raymond Omollo,wamefanya mashauriano katika...
Polisi Migori ahukumiwa miaka 15 jela kutokana na kosa la ubakaji
Afisa mmoja wa polisi amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kutokana na unyanyasaji wa kingono.
Mahakama Kuu mjini Migori ilimhukumu Howard Omwoha mwenye umri wa...
Watu 5 wafariki Migori kufuatia ugonjwa wa kipindupindu
Watu watano wamefariki katika kaunti ya Migori baada ya kuambukizwa ugonjwa wa kipindupindu kwa muda wa wiki mbili zilizopita.
Akithibitisha maafa hayo, Waziri wa Afya...