Home Tags Migori County

Tag: Migori County

Chuo Kikuu cha Rongo chafungwa

0
Chuo kikuu cha Rongo katika kaunti ya Migori kimefungwa kwa muda usiojulikana kufuatia vurugu za wanafunzi zilizoshuhudiwa humo. Kwenye taarifa naibu chansela wa chuo hicho...

Serikali yasimamisha shughuli za wachimba migodi wadogo Migori

0
Serikali imeamuru kusimamishwa kwa shughuli zote za wachimba migodi wadogo pamoja na shughuli za wachimba migodi wakubwa wasio na leseni stahiki katika kaunti ya...

Gavana Ochilo wa Migori asambaza mbegu kwa wakulima

0
Gavana wa Migori Dkt. Ochilo Ayako amezindua zoezi la usambazaji wa mbegu za thamani ya shilingi milioni 28 kwa wakulima wa kaunti hiyo. Akizindua mpango...

Raila aitaka serikali kukoma kulaumu idara ya mahakama

0
Kwa mara nyingine, kiongozi wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya na chama cha ODM Raila Odinga ameitaka serikali kukoma kulaumu idara ya...

Kampuni ya Skyward yazindua safari za kutoka Nairobi hadi Migori

0
Kampuni ya usafiri wa ndege kwa jina Skyward imezindua safari za ndege kati ya uwanja wa ndege wa Wilson jijini Nairobi na uwanja mdogo...

Aliyekuwa Naibu Gavana wa Migori aaga dunia

0
Nelson Mahanga Mwita ambaye awali alihudumu kama Naibu Gavana katika kaunti ya Migori amefariki. Familia yake imethibitisha kifo chake na kufafanua kwamba alikata roho jana...

Rais Ruto aonya maafisa wa umma wanaofanikisha ufisadi

0
Rais William Ruto amesema hawezi kukubalia watu wachache waharibu hali ya baadaye ya nchi hii kwa hivyo ufisadi utakabiliwa vilivyo. Kiongozi wa nchi ambaye alikuwa...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS