Home Tags Mgomo

Tag: Mgomo

Madaktari mabingwa wajiunga na mgomo, mafunzo ya utabibu UoN yasitishwa

0
Madaktari wote mabingwa kuanzia leo Alhamisi wameazimia kujiunga na mgomo unaoendelea wa madaktari ambao umeingia wiki yake ya tatu na kulemaza huduma katika hospitali...

Mgomo wa madaktari: Rais Ruto atakiwa kuingilia kati

0
Makali ya mgomo wa madaktari ulioingia siku ya 20 leo Jumanne yalizidi kuhisiwa katika maeneo mengi ya nchi huku madaktari wakitoa wito kwa Rais...

ICJ Kenya yatoa wito wa kusuluhishwa kwa mgomo wa madaktari

0
Tume ya Kimataifa ya Majaji tawi la Kenya, ICJ Kenya imetoa wito kwa pande husika katika mgomo unaoendelea wa madaktari nchini kushikiri mazungumzo yatakayosababisha...

Mgomo wa madaktari kuendelea baada ya kukwama kwa mazungumzo

0
Mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya tisa leo Ijumaa utaendelea hadi masuala yote walioibua yaangaziwe na serikali.  Hii ni baada ya mkutano ulioandaliwa jana...

Wahudumu wa afya hospitali ya Port Victoria wafutilia mbali mgomo

0
Wahudumu wa afya katika hospitali ya kaunti ndogo ya Port Victoria katika eneo bunge la Budalangi, kaunti ya Busia wamefutilia mbali mgomo.  Wakiongozwa na mwenyekiti...

Madaktari Nyamira kupandishwa vyeo, wafutilia mbali mgomo

0
Madaktari katika kaunti ya Nyamira wamefutilia mbali ilani ya kufanya mgomo.   Hii ni baada ya serikali ya kaunti hiyo inayoongozwa na Gavana Amos Nyaribo kuridhia...

Wafanyakazi wa afya kuanza mgomo katikati ya Julai

0
Vyama vya wafanyakazi wa afya vinashikilia kuwa vitaanza mgomo Julai 14, 2023 kutokana na kile kilivyotaja kuwa ukosefu wa hiari ya serikali kushiriki mazungumzo...
0FansLike
3,833FollowersFollow
21,100SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS